Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Wachina wana kipi cha kumpenda kaharibu uhusiano sana ...hao wakenya wenyewe wana kipi cha kumpenda kaharibu sana uhusiano ndani ya jumuia ..Mungu ampe kuishi ili ajirekebishe ......
Ukikimbia mchale ukiinuka mchale.Mchina kachukia Sana kunyimwa tenda ya SGR na stiglers.China ni ndugu zetu wa damu.Vuta nikuvute kule mchina,huku beberu,pale wasoma namba,Kati freemason, kushoto damu za watu,ukimeza moto ukitema moto usiombe kuumwa na jino usiku.
 
Si mnataka atawale milele nyie, ni vipi tena umma utangaziwe kama anaumwa?.
 
Usimuombee mwenzio mabaya kwa maana sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu hata kama unahasira na mtu msamehe tu maana imeandikwa samehe saba mara sabini kwa maana Mungu wetu ni wa msamaha, nakaribisha kukosolewa kama nimewakwaza maana hata mitume na manabii walisamehe na kusahau
 
Huyu Bwana huwa anafanyaga comedy kumake headline anapima upepo,yupo tu anatuchora mara vuup ataibukia kwenye uteuzi au ufunguzi huu mwezi hauishi.
Mwezi tena ? Tunamuomba aonekane akiendelea na majukumu ndani ya wiki hii kama usemacho kinamantiki
 
Siasa za majitaka ni zipi?
Ameleta siasa za majitaka gani?
Yeye na wewe nani analeta siasa za majitaka?

Vitoto tangu mkose ajira mnasumbua
Natutawasumbua sana maku wew
 
Nyie mnaodhihaki hamtafanikiwa kamwe.Tumeshaingia kwenye mapambano.
 
Kwa nini umelikomalia? Nimeanza kuwa na wasiwasi na wewe! Lazima uwaamini viongozi wako, ambao wanatuongoza kwa busara wanazojaliwa na Mungu! Kwani umekosa nini?
 
Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Mkuu hivi ni fahari Rais wa nchi flani kutibiwa nchi jirani huku akijitapa kuwa kaboresha miundo mbinu ya afya?
 
Kaka yangu, "you cannot stop every barking dog!" It is wastage of time! Ukipambana kuwarushia mawe unachelewa kwenye safari yako.
Watasema mchana usiku watalala!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…