Tatizo la chadema wao uchaguzi ukiisha kila kitu kinasimama, hawajitambui kabisa na wamesahau kwamba serikali ya awamu ya tano muhula wa pili ndiyo sasa inaundwa ili kuimarisha uongozi wa wizara, mikoa, wilaya na halmashauri, wamesahau kwamba wizara zinahahitaji makatibu wakuu, mikoa inahitaji wakuu wa mikoa, wilayani wakuu wa wilaya na halmashauri wakurugenzi.
Kuipata safi hiyo ndefu unahitaji kwenda retreat sehemu tulivu isiyo na bughudha, ukiwa na timu ya fitna ili kutokumuonea mtu soni. Mwacheni rais apige kazi na subirini uteuzi mpya wa timu ya MUHULA WA PILI WA AWAMU YA TANO. CORONA SIYO ISSUE NI KUCHUKUA TAHADHALI, AMUA KUVAA BARAKO, AU KUJIFUKIZA, AU KULA MLO KAMILI, AU NIMRICAF, COVIDO AU BUPIJI UKIPENDA VYOTE KWA PAMOJA