mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Tena huku anavisimanga, viluilui, nilichojifunza wengi ya ambao hawajaumwa wanaamini hawawezi kuumwa na kwamba walioumwa kuna kitu walikosea, Jambo ambalo si kweli, kama hujaumwa chukua tahadhari na Umshukuru MUNGU.Hao uliowataja wameugua kwa BAHATI MBAYA ila huyu wa kwetu alikuwa anavitafuta viluilui mwenyewe akifikiri ni sifa
Hapo chachaMkuu hivi ni fahari Rais wa nchi flani kutibiwa nchi jirani huku akijitapa kuwa kaboresha miundo mbinu ya afya?
Kwenye giza kuna uzushi mwingi. Kwenye mwanga kuna ukweli.Kesho wakizusha Tena napo ikanushwe, kesho kutwa hivyohivyo. Sasa si watakuwa na kazi ya kuzusha tu. Nyie watu ni wajinga sana
Uzushi unaanzia pale ambapo “taratibu za kawaida” zinapokoma.Kesho wakizusha Tena napo ikanushwe, kesho kutwa hivyohivyo. Sasa si watakuwa na kazi ya kuzusha tu. Nyie watu ni wajinga sana
Hawezi kukoroma bwana, yeye ni Jiwe kwelikweli.Hakuna cha ujiwe sasa wanasema anakoroma mpaka imebidi wawahamishe wagonjwa kwenda ward mbalimbali
Inawezekana Kuna jambo.tusubiri nisuala la muda tuu.Rais anavyopenda kuonekana kwenye runinga mara kwa mara na kuonekana kwenye front pages lazima kuna kitu kisicho cha kawaida
Ni kweli sio vizuri kujibu kila tetesi but remember hi ya mwanakijiji inamuhusu mkuu wa nchi, sio jambo rahisi hilo mkuuSio lazima kujibu kila tetesi, utajibu ngapi?
Wabongo kila siku wanastory mpya ukianza kujibizana nao utaishia kufanya kazi hiyo tu mwaka mzima.
Unawazungumzia watu wanaotafuta buku ya kula ndio waje kununua bando ya kuingia mitandaoni? afu hizi habari hazijatoka rasmi lazima kuwe kimya huko ila mitandaoni ni fireHuku mitaani hata hakuna hizo habari tatizo letu huku mitandaoni na tunafikiri kila kinachofanyika huku basi na mtaani ndio pako hivyo hivyo.
mbona wanapotendewa mabaya wapinzani hukujitokeza? waliobomolewa kule kimara uliwasidiaje? wale wa tetemeko je? waliopotea hadi leo hii je?Watanzania timekuwa watu wa ajabu sana kuombeana mabaya nachukia sana kwa nini tuombeana mabaya mh raisi nakuombea kwa mungu akupe afya njema uzidi kuwaumbua Hawa wanaokuombea mabaya
Kwahiyo wanaotafuta buku, hawaruhusiwi kuingia mtandaoniUnawazungumzia watu wanaotafuta buku ya kula ndio waje kununua bando ya kuingia mitandaoni? afu hizi habari hazijatoka rasmi lazima kuwe kimya huko ila mitandaoni ni fire
Watanzania ni viumbe wa ajabu sanaKwanza kuumwa tu hapa nimepiga wanangu Hennessy za kutosha
Akisepa naweka sherehe kubwa kabisa na mziki na MC kabisa....
Yaani leo nimefurahi sana jamani......
Si mara ya kwanza humu mitandaoni kuzushia watu vifo,sasa point yangu ni kwamba huko mitaani watu wanaendelea na shughuli zao hakuna taharuki yeyote wala mawazo ya kwamba et kuna ukimya wa Rais.Unawazungumzia watu wanaotafuta buku ya kula ndio waje kununua bando ya kuingia mitandaoni? afu hizi habari hazijatoka rasmi lazima kuwe kimya huko ila mitandaoni ni fire
Keshashiba chai ya shemeji huyo unafikiri anaelewa nini hapo,yeye anachojua kushinda mitandaoni.Kwahiyo wanaotafuta buku, hawaruhusiwi kuingia mtandaoni
Kuwa na watu wenye mawazo ya kibinafsi na kipumbavu kama wewe, hutuwezi endelea kamwe
Hakuna aliyesema tusichukue tahadhari. Tunachosema ni kumtanguliza Mungu mbele na tahadhari nyingine zote zinafuata nyuma! Na utukufu wote apewe Bwana Mungu.Sasa huvai condom halafu ukikutana na "Kitu" unasema eti ni bahati mbaya na kwamba unamtanguliza Mungu what a load of BS