Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hao uliowataja wameugua kwa BAHATI MBAYA ila huyu wa kwetu alikuwa anavitafuta viluilui mwenyewe akifikiri ni sifa
Tena huku anavisimanga, viluilui, nilichojifunza wengi ya ambao hawajaumwa wanaamini hawawezi kuumwa na kwamba walioumwa kuna kitu walikosea, Jambo ambalo si kweli, kama hujaumwa chukua tahadhari na Umshukuru MUNGU.
 
Rais anavyopenda kuonekana kwenye runinga mara kwa mara na kuonekana kwenye front pages lazima kuna kitu kisicho cha kawaida
 
Kesho wakizusha Tena napo ikanushwe, kesho kutwa hivyohivyo. Sasa si watakuwa na kazi ya kuzusha tu. Nyie watu ni wajinga sana
Uzushi unaanzia pale ambapo “taratibu za kawaida” zinapokoma.

Kama hizo taratibu za kawaida ziko pale pale. Uzushi unakuwa hauna mashiko wala kuleta taharuki.
 
Rais anavyopenda kuonekana kwenye runinga mara kwa mara na kuonekana kwenye front pages lazima kuna kitu kisicho cha kawaida
Inawezekana Kuna jambo.tusubiri nisuala la muda tuu.
 
Sio lazima kujibu kila tetesi, utajibu ngapi?

Wabongo kila siku wanastory mpya ukianza kujibizana nao utaishia kufanya kazi hiyo tu mwaka mzima.
Ni kweli sio vizuri kujibu kila tetesi but remember hi ya mwanakijiji inamuhusu mkuu wa nchi, sio jambo rahisi hilo mkuu
 
Huku mitaani hata hakuna hizo habari tatizo letu huku mitandaoni na tunafikiri kila kinachofanyika huku basi na mtaani ndio pako hivyo hivyo.
Unawazungumzia watu wanaotafuta buku ya kula ndio waje kununua bando ya kuingia mitandaoni? afu hizi habari hazijatoka rasmi lazima kuwe kimya huko ila mitandaoni ni fire
 
Watanzania timekuwa watu wa ajabu sana kuombeana mabaya nachukia sana kwa nini tuombeana mabaya mh raisi nakuombea kwa mungu akupe afya njema uzidi kuwaumbua Hawa wanaokuombea mabaya
mbona wanapotendewa mabaya wapinzani hukujitokeza? waliobomolewa kule kimara uliwasidiaje? wale wa tetemeko je? waliopotea hadi leo hii je?

Acha unafiki wewe uende peponi dunia hii ni jiwe kwa jiwe jino kwa jino
 
Unawazungumzia watu wanaotafuta buku ya kula ndio waje kununua bando ya kuingia mitandaoni? afu hizi habari hazijatoka rasmi lazima kuwe kimya huko ila mitandaoni ni fire
Kwahiyo wanaotafuta buku, hawaruhusiwi kuingia mtandaoni

Kuwa na watu wenye mawazo ya kibinafsi na kipumbavu kama wewe, hutuwezi endelea kamwe
 
Kwanza kuumwa tu hapa nimepiga wanangu Hennessy za kutosha

Akisepa naweka sherehe kubwa kabisa na mziki na MC kabisa....

Yaani leo nimefurahi sana jamani......
Watanzania ni viumbe wa ajabu sana

Dooh!
 
Unawazungumzia watu wanaotafuta buku ya kula ndio waje kununua bando ya kuingia mitandaoni? afu hizi habari hazijatoka rasmi lazima kuwe kimya huko ila mitandaoni ni fire
Si mara ya kwanza humu mitandaoni kuzushia watu vifo,sasa point yangu ni kwamba huko mitaani watu wanaendelea na shughuli zao hakuna taharuki yeyote wala mawazo ya kwamba et kuna ukimya wa Rais.
 
Kwakuwa watu huwa wanagongwa na magari hata kwa uzembe wa madereva haimaanishi uende ukacheze mduara katikati ya barabara sababu eti hata ukiwa muangalifu bado unaweza kupata ajali
 
Kwahiyo wanaotafuta buku, hawaruhusiwi kuingia mtandaoni

Kuwa na watu wenye mawazo ya kibinafsi na kipumbavu kama wewe, hutuwezi endelea kamwe
Keshashiba chai ya shemeji huyo unafikiri anaelewa nini hapo,yeye anachojua kushinda mitandaoni.
 
Sasa huvai condom halafu ukikutana na "Kitu" unasema eti ni bahati mbaya na kwamba unamtanguliza Mungu what a load of BS
Hakuna aliyesema tusichukue tahadhari. Tunachosema ni kumtanguliza Mungu mbele na tahadhari nyingine zote zinafuata nyuma! Na utukufu wote apewe Bwana Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom