Ha haha, JF itapata shida na Serikali mkuu... Tunamsumbua Melo.Mr Slim piga tukio tena sema hotel Rwanda, kafa na Covid mahabusu, uone tutakavyokuwazia π π π !
Everyday is Saturday................................π
umeshataja matatizo yake...katika marais wabovu kuwahi kutokea ni huyu magufuli.aende tu afe tu kwani yeye ameua wangapiMagufuli akifa sijui Kama tutapata rais Kama huyu.jasiri mwenye msimamo
Ila tatizo lake moja tu kuondoa watumish hewa halafu kushindwa kuweka vijana wasomi kwenye hizo nafasi..halafu msomi mzima unayemwamini MUNGU unaenda kwa babu wa loliondo kupata kikombe?????
Sent using Jamii Forums mobile app
mwigulu ndo pumbafuu kabisa.mtanzania kuulizia hali ya rais wake anayejenga fly overs na kununua ndege 10 ni kosa???View attachment 1722460
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemjibu Mwanasheria mkuu wa CHADEMA ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Tundu Lissu na kumuonya vikali kwa kitendo cha kuulizia alipo Rais Magufuli na kama yupo salama kupitia mitandao ya kijamii. Dkt. Mwigulu amenukuu vifungu vya sheria vilivyovunjwa na Mh. Tundu Lissu na kusisitiza kuwa sheria inapovunjwa hakuna mipaka wala muda kupita. Aidha Dkt. Mwigulu amewaonya waropokaji wote kuzingatia sheria na kwamba serikali ipo kazini.
Dkt. Mwigulu alisema hayo kupitia mtandao wa instagram ambapo ameandika "Kiongozi wa Nchi sio Parishworker Kanisani wala sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuonekana!, Kiongozi wa Nchi Sio Mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi Ila hakuonekana! Kiongozi wa Nchi sio kiongozi wa jogging clubs kwamba anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku na kurusha selfie. TUACHE UPUUZI UPUUZI HATA KAMA HATUNA JAMBO LA KUFANYA.
Umeichafua sana nchi umeshindwa, mmetamani tukwame mmeshindwa,Sasa mnaombea mabaya nchi yetu na Kiongozi wa Nchi yetu. SHERIA YEYOTE INAPOVUNJWA, HAKUNA CHA MIPAKA, WALA HAKUNA CHA MUDA KUPITA. KWA WANAOROPOKA ZINGATIENI KIFUNGU CHA 89 cha Penal code na 16 cha Cyber Crime, SERIKALI IPO KAZINI"
Hata hivyo Mh. Tundu Lissu ameonekana kukaidi onyo hilo na kuendelea kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa na mamlaka husika kupitia mtandao wa Twitter.
Asee we fundi nondo yaelekea tukikufanyia sub uchukue nafasi ya Ziraili, utafanya usafi wa kibabe kwa wenye mamlaka zao....umeshataja matatizo yake...katika marais wabovu kuwahi kutokea ni huyu magufuli.aende tu afe tu kwani yeye ameua wangapi
Ww endelea na tibisii sisi tunaangalia BBC ndio wanatupashaTibisiii ndio nini
Usitamani kuelezwa maana yake kaka.Hili neno sijawahi kutana wala kionana nalo[emoji2960] ndio Nini!
Acha Mungu aitwe Mungu.Tatizo kubwa nchi yetu haijawahi kupitia wakati kama huu. Na kama kweli kawekwa kwenye vent, its a long process to recover.
Yupo wapi sasa hivi Dr, aliwahi kutokaga nje akiwa weak sana.Inategemea na hali aliyo nayo.
Dr. Mpango hakukaa sana.
tulivyotaka kumuombea lissu alituma polisi waje kuzuia.huyu ni wa kufa tu ameshaua wengiNdugu zangu watanzania, kama ni kweli Rais yuko Hospitali Nairobi, cha kufanya watanzania ni kumuombea. Yeye ni rais wa nchi yetu, tupende au tusipende. Tumpende au tusimpende.
Kama wewe una habari za tetesi kuwa anaumwa, basi busara ni kumuombea kimyakimya, sasa kama tukianza kuingia kwenye mtego wa wenzetu wanaotumiwa kuanza kumuombea mabaya rais wetu hii sio busara kabisa.
kaua watu wengi na yeye aende tu lema alisema rais atafia madarakani muda ndo huuKahama ni elf5 kwa wasukuma. Ila mi ntamchinja nguruwe wangu tumfanye kitoweo.
Ninayo mafungu kadhaa ya konyagi kuubwa ile yenye picha ya mwanamke. Faru fausta sio faru jon tena.
Tutajitenga kabisa ili kuepuka covid au nasema uongo ndugu yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Aisee namuona mama Samia kwa mbaliImetumika 25,000,000 ksh kuwafumba mdomo wauguzi wa Nairobi kutotoa taarifa lakin Sanawa Timoo kasanua
Asante kakaKwani nani kakwambia rais wetu ni mgonjwa?
Subiri kwanza uambiwe kuwa ni mgonjwa ndio umuombee apone otherwise tulia kimya fuatilia yanayoendelea mitandaoni kama watu wengine.
Mh Lissu hajawa na hatakuwa Msemaji wa Rais Magufuli. Yeye anatumia nafasi yake kama Raia wa kawaida kabisa wa Tanz kuweka wazi yale yanayofichwa na Wenye Mamlaka.Kwa mtu ambaye ameshagombea Urais wa Nchi kama Tundu Lissu ungetegemea awe na utulivu wa akili kwa kiasi kikubwa sana!...
Nchi ina sheria mbili lakini watu wnalazimishwa kuwa wazalendo,maajabu sana..hata raia wameamua kununua magazeti ya michezo tu wabishane kuhusu simba na yanga siku ziende washapuuza matakataka hayo..na siyo mwisho wao tu wangekuwa mahakamani mda mrefu sana ila nimependa style ya mbowe siku hizi kunyamaza kimya na kupuuzaHili gazeti lingemilikiwa na mpizani,leo hii ungekua mwisho wao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wahenga pia wamesemaaaa
Mdharau pema pabaya panamwitaa na kingine
Asiyesikia la mabeberu pua huacha kupumuaa[emoji23][emoji23]