Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tatizo ameitangazia dunia kuwa yeye ameishinda Coeona kwa maombi ya siku 3 tu.Kwani kama ikiwa corona, ndo nini sasa?
Si ni ugonjwa tu.
Ye ndo wa kwanza kuipata?
Madiwani wa Chadema Ikungi walikusanyika kufanya kikao jinsi ya kukusanya michango, ili kuchangia matibabu ya Tundu Lissu, watu wale walikamatwa. Kuvaa fulana za jina la "Tundu Lissu" ikawa kosa la jinai. Leo mnasema watu wasifurahie maumivu ya wengine? You people, are you MAD?
Huenda hukuwahi kusikia maneno aliyotamka jiwe kabla TAL hajapigwa risasi Dodoma.Kwa mtu ambaye ameshagombea Urais wa Nchi kama Tundu Lissu ungetegemea awe na utulivu wa akili kwa kiasi kikubwa sana!...
Lakini maandiko yanasema pia "Ukiambiwa sana maneno ya kukuonya nawe ukashupaza shingo, basi shingo hiyo huvunjika."Mathayo 5:43-48 BHN
“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako.’ Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi, ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni...
LolTatizo ameitangazia dunia kuwa yeye ameishinda Coeona kwa maombi ya siku 3 tu.
Njia ya muongo ni fupi sana.
Asa kwa akili zako unafikiri hata ingekuwa kweli anaumwa, akipona ni sawa na tusingeomba??Tatizo ameitangazia dunia kuwa yeye ameishinda Coeona kwa maombi ya siku 3 tu.
Njia ya muongo ni fupi sana.
Hivi ni jambo la ajabu sana kusikia kuwa Rais "fulani" ni mgonjwa au hata amekufa? Kuna nini basi cha ajabu ikiwa Rais ni Mwanadamu kama walivyo Wanadamu wengine hata itokee "taharuki" pale anapoumwa au kufariki?Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?....
Bora afe tu watu tuanze kuvaa t-shirt za tundu lissuMadiwani wa Chadema Ikungi walikusanyika kufanya kikao jinsi ya kukusanya michango, ili kuchangia matibabu ya Tundu Lissu, watu wale walikamatwa. Kuvaa fulana za jina la "Tundu Lissu" ikawa kosa la jinai. Leo mnasema watu wasifurahie maumivu ya wengine? You people, are you MAD?
Huu ndio "uzushi" uliopitiliza sasa!Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Nasikia hata church hakuwepo last Sunday, yupo wapi sijuiIla nadhani hata yeye anachangia kwenye haya mambo ya ficha ficha.
Mshahara wa Dhambi ni Mauti, Rumi sura 9 kama sikosei.Lakini maandiko yanasema pia "Ukiambiwa sana maneno ya kukuonya nawe ukashupaza shingo, basi shingo hiyo huvunjika."
Au nasema uongo ndugu zanguuuu ntamis haka kamsemoRais wetu siyo mzinz acha kumchulia ana mke mmoja tu janeth
Kuwa na heshima kwa mungu wetu siyo mm n maneno ya kabudi lakn usinichukie
sasa kama nipo nje ya mada unanifuata kufanya nini kaa huko huko ndani ya madaUpo nje ya mada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe huna shughuli, kama ungekua nazo usingepata muda wa kufuatilia uzushi all the timeKuna mambo yanafikirisha sana, Hivi hakuna Kitu kinaweza kufanyika kuzima huu uzushu watu wakaendelea na kazi zao?
Nawaza tu.
Damu ya Ben Saanane
Azory Gwanda
Kanguye
Watu wa Kibiti
Zanzibar
Masheikh mbalimbali mikoa ya kusini.
Zote zinalia zinataka zitendewe haki!
HahahaAlways African leaders dies in foreign countries