Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Je ni halali kuzuia watu wengine tena wenye nchi yao kupata huduma kwa ajili ya mtu mmoja tu tena mgeni ambaye hajulikani alikotoka ?
 
Mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale amemtaka Rais Magufuli aendelee kuchapa kazi na kuwaletea wananchi maendeleo.

Babu Tale amesema hayo mambo madogo madogo ya uzushi wa mitandaoni waachiwe wao washughulike nayo kwani wanawajua wazushi wote na nia zao ovu.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Ubunge nao siku hizi ni sawa tu na uvuta bangi wa wasanii kama huyu Tale. Hivi kweli unampeleka tale bungeni, akafanye nini? Hizi nchi zetu za dunia ya tatu zitaendelea kuwa maskini. Chombo kikubwa cha maamuzi na cha kutunga sheria wanakuwemo akina Tale. unategemea nini?
 
Ile building finance sijui iliishia wapi.
 
Umemuelewa lakini?
 
Tale Tale huyu ambae hajui hata definition ya civics..

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…