Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
kwamba sasa mnajari afya ya magufuli miezi minne baada ya kudai kawapora kura???

huu unafiki anao shetani peke yake.
Unatumia lugha ngumu na ya chuki.

Miimi kusema raisi aandaliwe tukio kuna ubaya gani?

Mbona walimuandalia tukio la kwenda bandarini kuokota vichwa vya treni?

Again, kama anaumwa wakae kimya. Kama haumwi wamuandalie tukio.
 
Mkuu umeandika kwa uchungu, na andiko lako Lina maana, but mkuu husiumize kichwa ,Hacha mkuu aendelee kutimiza wajibu wake kwa mjibu wataratibu zake Cha msingi usije tokea kwamba Kuna tatizo lolote maana wananchi hatutawaelewa, huyu ni kiongozi wa watu,ila kwa sababu hatushirikishwi,au hatuitajiki jua yuko wapi Basi tuendelee na maisha yetu ya kila siku mkuu,
 
Kuna jamaa angu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Yani MOI (Nairobi) hospital ilivyo kubwa vile waihodhi wao tu?
Acheni masikhara
 
Ok, nilisahau wewe ni bawacha. Hivyo kawaambie bawacha wenzako muda huu utumieni kwenda kufungua kesi ICC Kama mlivyoapa
 
Sasa CHADEMA watafanya nini na ndio kazi waliobakiwa nayo?
Unakosea Sana na watoka Sana nje ya mtoa mada, mtakua lini , au mtazeeka lini japo kuwa sensitive na maoni Kama ya mtoa mda punguza ushabiki kwenye nada zenye mantiki ya kitaifa
 
"Naona unataka kushika nyati sehemu za Siri"


Nyati anazo sehemu za siri???---

katika wanyama ni binadamu tu ndiye anazo sehemu hizo.
Kwa binadamu Zinaitwa hivyo kwasababu zimefichikana ndani ya nguo.
 
Duh, ukipewa nafasi ya msigwa ile tutajaza barua za Ikulu kwa file zetu. Wengine tunazitunza tu.
 
Sio lazima. Mwanzo alizushiwa kifo na hakuwahi kutokeza mtu yeyote kukanusha. Kwahiyo wacha wajinga waendelee kutiana ujinga.
Kisha ikatokea kweli? Mungu aepushie mbali.

Sijajua ni vipi tunaweza tengeneza utulivu kunapokuwa na tetesi za taharuki.
 
Achana na hawa watu wa serikali ya Tanzania...

Yaani officials wa serikali ya Tanzania wanadhani wanaweza kuficha hata jambo lisilo weza kufichika ktk dunia hii ya utandawazi...

Kama waliweza kusema uongo kuwa Rais Magufuli ameshiriki mkutano wa wakuu wa EAC huku kweli ikiwa ni Mama Samia Suluhu vipi akiwa ndiye aliyeshiriki ktk mkutano huo, unategemea nini hata katika hili?

Furushi la udhaifu wa Rais Magufuli ni ngumu sana kulibeba hadi mwisho kwa kificho bila watu kukuona na furushi hill...

Yetu ni macho. Tunasubiri kuona mwisho wao maana imesemwa na wahenga, "...mficha maradhi, mauti humuumbua...!!"
 
Kweli Magufuli anaweza kwenda kutibiwa Kenya?! Si watammaliza hata kama ugonjwa wake ungetibika?!

Tunajadili "possibility" Mkubwa. Sijasema in conclusion kuwa ni yeye ndiye yupo huko. Lakini hata ingekuwa, Mimi sioni ajabu.

Mwenzake Tundu Lissu aliyekuwa "robo tatu mfu" akiwa na possibility robo tu ya kupona mauti, alikwenda na kuponea hapo.Hata yeye anaweza kwenda kuponea hapo.

After all, may be you seem to have forgotten that Uhuru Kenyatta and Raila Odinga Odinga are his best friends. Labda wamemwambia njoo huku huku best utapona. Who knows bwana?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…