Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hata BBC nao wamo, sasa wachukulieni hatua
eti mpango naye alipata huduma Benjamini Mkapa huko Kenya 😀
The 53-year-old alleged that Tanzania's Finance Minister Philip Mpango was also being treated at the same hospital in Kenya's capital.
 
Huyu jamaa alishafanya tambiko pale police Kilwa road
Sasa tunamuombea kwa imani ipi ?
Usije kuta ndo tunamkaanga
 
Lissu awe makini na siasa za tetesi. Mfano Magu akijitokeza na yupo fit itakula kwake(lissu) na kumshushia hadhi

Kwani kasema kafa?

Kasema anaumwa na ameanza kutibiwa Nairobi - Kenya na sasa yuko India..

Akipona na kurudi, haitafuta ukweli kuwa aliugua; akapelekwa Kenya na kisha India...

Kama siyo, kanusheni. Kimya maana yake manakubaliana na ukweli huu...!!

Na mkijaribu kukanusha tu, mtashangaa mtakapooneshwa kwa njia ya picha na video mpaka madaktari waliomtibu, vyumba alivyolazwa Nairobi na India...

Hii ni dunia mpya ya maendeleo ya teknolijia habari na mawasiliano. Huwezi kuficha kitu kama ugonjwa maana kifo kitakuumbua tu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…