nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Uzuri wenye akili wanamchora tu,
Akitoka India aseme pia.
Akitoka India aseme pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mano likwelikweHivi huyo Tundu akifunguliwa mashtaka ya upotoshaji umma watakua wanamuonea ? ? ?
Noma sanaCorona baada ya kuitukana sana ikaamua kujibu mashambulizi.View attachment 1723179
Kwanini?INDIA
INDIA
INDIA
Huyu jamaa alishafanya tambiko pale police Kilwa roadKwa wale tunao muamini Mungu aliye mbinguni, muumba mbingu na nchi.
Kwa maneno machache ama mengi kwa nafasi yako, tumuombee mheshimiwa Magufuli. Haijalishi yupo mapumzikoni ama hospitali au ikulu likizo tumuombee maana adui wake wa rohoni na mwilini wapo kazini.
Lissu awe makini na siasa za tetesi. Mfano Magu akijitokeza na yupo fit itakula kwake(lissu) na kumshushia hadhi
Sasa kama taarifa unazo kwanini huzitoi alafu wengine wakitoa unakereka?Yeye tu ndiye mwenye taarifa?
Mungu yupo.Lissu awe makini na siasa za tetesi. Mfano Magu akijitokeza na yupo fit itakula kwake(lissu) na kumshushia hadhi
Ashuke hadhi mara ngapi!???
Kwa sababu zipi?Hii habari haina muda mrefu hapa jikwaani
Mungu yupo.
Yaani safari hii hata misukule yake itampuuza
Lissu awe makini na siasa za tetesi. Mfano Magu akijitokeza na yupo fit itakula kwake(lissu) na kumshushia hadhi