Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Ndiyo tambua angekuwa anaumwa ungepewa ^tarehe za juu^ (updates), sawa limbukeni!???
 
Aliyeyaleta hayo yote ni jiwe.ni bora aondoke kwa maslahi ya walio wengi.huyu round hii lazima afe huyu
 
Inawezekana Mh. kaamua kujipa mapumziko kwa muda, hataki stress na mtu anaendelea kuwachora tu wanaohangaika kutunga aliko.
 
Usisahau kunialika.
 
Tatizo kuna watu katika nchi hii wanamuona rais kama mungu mtu, hiyo ndio shida. Subirini mje msikie yowe ndio matajua kuwa Mungu ni mmoja tu na ndipo mtagundua kuwa mlikuwa mnaabudu sanamu.

Haya mambo ya kuficha rais anapoumwa ni mambo ya kipumbavu sana na yaliyopitwa na wakati, tuliyashuhudia tu enzi za Mwl Nyerere akiwa rais na kwa kufanya hivyo hakumfanyi Mungu abadili msimamo wake kwake. Ni ujinga tu wanafanya.
 
kama malengo yao ni kupendwa pendwa basi watafanya haya,ila sidhani maana sio lengo la uongozi kabisa hilo.

ukiona kiongozi anafanya maamuzi kwa kuogopa kuchukiwa hafai.
Upendwe na wabadhirifu, walarushwa, madalali, wavivu, wazembe, vibaraka wa mabeberu ili iweje kimfano!???
 
Mlisema yuko Nairobi then India. Kinachowafurukutisha tena ni nini!??? Your problem is the very problem itself!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…