Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka wakati Mwalimu Nyerere (RIP) Anaumwa kila siku tulikuwa tuna pewa tarifa za anavyo endelea. Japo walikuwa wana danganya lakini tulipewa updates. Sasa rais wetu kipenzi Jpm ina semekana anaumwa na hayuko Tz lakini hakuna tarifa. Ina leta mashaka sana hawa wasaidizi wake kawaokota wapi? Watu wasio jua utawala? Wanatakiwa kujua Rais ni baba wa Nchi na sio baba wa watawala. Tupeni taarifa za Rais wetu.
Ndiyo tambua angekuwa anaumwa ungepewa ^tarehe za juu^ (updates), sawa limbukeni!???
 
Aliyeyaleta hayo yote ni jiwe.ni bora aondoke kwa maslahi ya walio wengi.huyu round hii lazima afe huyu
 
Inawezekana Mh. kaamua kujipa mapumziko kwa muda, hataki stress na mtu anaendelea kuwachora tu wanaohangaika kutunga aliko.
 
Sie huku tushamuandaaa kitiMoto mkuuubwa kwa ajili ya kitoweo na sadaka ya shukrani kwa kutoweka huyu mungu wa tizii.

Bia nadhani tutaodi kiwandani kabisa kuondoa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau kunialika.
 
Tatizo kuna watu katika nchi hii wanamuona rais kama mungu mtu, hiyo ndio shida. Subirini mje msikie yowe ndio matajua kuwa Mungu ni mmoja tu na ndipo mtagundua kuwa mlikuwa mnaabudu sanamu.

Haya mambo ya kuficha rais anapoumwa ni mambo ya kipumbavu sana na yaliyopitwa na wakati, tuliyashuhudia tu enzi za Mwl Nyerere akiwa rais na kwa kufanya hivyo hakumfanyi Mungu abadili msimamo wake kwake. Ni ujinga tu wanafanya.
 
kama malengo yao ni kupendwa pendwa basi watafanya haya,ila sidhani maana sio lengo la uongozi kabisa hilo.

ukiona kiongozi anafanya maamuzi kwa kuogopa kuchukiwa hafai.
Upendwe na wabadhirifu, walarushwa, madalali, wavivu, wazembe, vibaraka wa mabeberu ili iweje kimfano!???
 
Tatizo kuna watu katika nchi hii wanamuona rais kama mungu mtu, hiyo ndio shida. Subirini mje msikie yowe ndio matajua kuwa Mungu ni mmoja tu na ndipo mtagundua kuwa mlikuwa mnaabudu sanamu.

Haya mambo ya kuficha rais anapoumwa ni mambo ya kipumbavu sana na yaliyopitwa na wakati, tuliyashuhudia tu enzi za Mwl Nyerere akiwa rais na kwa kufanya hivyo hakumfanyi Mungu abadili msimamo wake kwake. Ni ujinga tu wanafanya.
Mlisema yuko Nairobi then India. Kinachowafurukutisha tena ni nini!??? Your problem is the very problem itself!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom