Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kiduku wa NC mwaka jana alisingiziwa pia hivihivi hadi Trump kidogo ajichanganye kubreak news. Shame on you!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Mkuu.Mkuu long time sijakuona humu kwema lkn?
Mm nimepita tu humu kukusalimia
Uzi huu mzito siuwezi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Round hii ni ukweli na uhakikakumbe hata huna uhakika.
jiulize ukijua kwamba ni mzima haumwi hata mafua,utafanya nini!!!
Ndiyo tambua angekuwa anaumwa ungepewa ^tarehe za juu^ (updates), sawa limbukeni!???Nakumbuka wakati Mwalimu Nyerere (RIP) Anaumwa kila siku tulikuwa tuna pewa tarifa za anavyo endelea. Japo walikuwa wana danganya lakini tulipewa updates. Sasa rais wetu kipenzi Jpm ina semekana anaumwa na hayuko Tz lakini hakuna tarifa. Ina leta mashaka sana hawa wasaidizi wake kawaokota wapi? Watu wasio jua utawala? Wanatakiwa kujua Rais ni baba wa Nchi na sio baba wa watawala. Tupeni taarifa za Rais wetu.
Wewe ni mbuzi wa nyikani. JPM is going nowhere, upo hapo!???Jiwe safari hii asipokufa basi hatakufa tena, nawaonea huruma wale wabunge viherehere waliokuwa kila siku wanaomba Jiwe aongezewe miaka
kama malengo yao ni kupendwa pendwa basi watafanya haya,ila sidhani maana sio lengo la uongozi kabisa hilo.ni kitu kibaya sana.. yaan very very bad. si utamaduni wetu.
lakin hali ikifikia hapa.. wahusika waniangalie upya walikosea wapi
Usisahau kunialika.Sie huku tushamuandaaa kitiMoto mkuuubwa kwa ajili ya kitoweo na sadaka ya shukrani kwa kutoweka huyu mungu wa tizii.
Bia nadhani tutaodi kiwandani kabisa kuondoa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...Aende tu kashaua wengi
jiwe ndo bai bai mizimga iandaliwe then raus atayekuja tunauza ndege zote alizonunua futilia mbali kabisaHuyuhuyu Lissu anaetembea kama tipa linabinua mchanga?
Mkuu, kwa nini usipumzike uache watu waumbuke wenyewe siku JPM akionekana akipiga kazi? Unatumia nguvu nyingi sana kubishana na watu.Wewe ni mbuzi wa nyikani. JPM is going nowhere, upo hapo!???
Aisee...lazima uende mzeee jeshi liandae mizinga tu.haiwezekani utese watu then upite hivi hiviView attachment 1723490
andaa mishumaa ya kutoshaTunaanza kupost mishumaa lini nime subiri adi nimechoka sasa
SUBIRI KIDOGO
Mkuu, kwa nini usipumzike uache watu waumbuke wenyewe siku JPM akionekana akipiga kazi? Unatumia nguvu nyingi sana kubishana na watu.
Upendwe na wabadhirifu, walarushwa, madalali, wavivu, wazembe, vibaraka wa mabeberu ili iweje kimfano!???kama malengo yao ni kupendwa pendwa basi watafanya haya,ila sidhani maana sio lengo la uongozi kabisa hilo.
ukiona kiongozi anafanya maamuzi kwa kuogopa kuchukiwa hafai.
Mlisema yuko Nairobi then India. Kinachowafurukutisha tena ni nini!??? Your problem is the very problem itself!!!Tatizo kuna watu katika nchi hii wanamuona rais kama mungu mtu, hiyo ndio shida. Subirini mje msikie yowe ndio matajua kuwa Mungu ni mmoja tu na ndipo mtagundua kuwa mlikuwa mnaabudu sanamu.
Haya mambo ya kuficha rais anapoumwa ni mambo ya kipumbavu sana na yaliyopitwa na wakati, tuliyashuhudia tu enzi za Mwl Nyerere akiwa rais na kwa kufanya hivyo hakumfanyi Mungu abadili msimamo wake kwake. Ni ujinga tu wanafanya.
Ng'homango itemeemelichiwagwa loyaga! ... mbo 'MITANO TENA TUNAYO TU'!
KWA WALE WANAOJUA KIINGEREZA CHA NG'WANZA!
[emoji109][emoji28][emoji3577][emoji95]
Kina uhusiano wowote na chama chenu cha mashoga?chama cha wanawake wajane.