Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Wewe hamnazo kweli. CHADEMA wanahusika vipi? Yaani kila anaetoa tangazo lisilopendeza Watawala/Serikali basi bila kufikiri mnatoa majumuisho kuwa ni tamko la Chadema?
Ubaguzi chuki na upendeleo wa Serikali ya CCM ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo. Na muasisi wa haya yote anajulikana.
Je, mliwahi kumkemea japo humu jamvini?
Ubaguzi chuki na upendeleo wa Serikali ya CCM ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo. Na muasisi wa haya yote anajulikana.
Je, mliwahi kumkemea japo humu jamvini?