Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
It is better thsi thread is closed down as it flames out more stampede than collectively sewing up the venting differences.Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais ni mwanadamu, hata kama wakati mwingine anazungumza kama mwenye ufunguo wa mbinguni. Mwisho mtasababisha taharuki isiyo ya lazima na kufanya watu wamposti Mama Samia tena.
Kama anahitaji kuinuliwa katika maombi huu ndio wakati. Kama hakuna jambo serious mnasema hivyo nakerekaga kweli.
If the personal hatred being ideally envisaged in the trailing comments by isome of the JF members whether at own wish or compromise from the rumouring circles tomorrow omay be a sunset to Tanzanias integration should it be warned on that route.