Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Taifa hili kuzushiwa kifo Ni kawaida sna hakika watawala wajiangalie mnk hili limekuwa tofauti mkapa Benjamin nae pia aliwahi kuzushiwa kifo mwka 2015 Kama sikozei kumbe alikuwa yu hai nae
Sure ... nakumbuka hiki kipindi
 

Lissu asema Magufuli amehamishiwa India akiugua Covid-19​

Na Iddi Ssessanga
Kiongozi mkuu wa upinzani Tanzania, Tundu Lissu, amesema Alhamisi kuwa rais John Magufuli, ambaye hajaonekana hadharani kwa karibu wiki mbili, yuko India akitibiwa virusi vya corona na kwamba yuko katika hali mbaya.

Tundu Lissu, ambaye alishindwa na Magufuli kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana, ametaja duru za kiafya na usalama kama vyanzo vya taarifa kwamba rais Magufuli amehamishwa kutoka hospitali nchini Kenya na kupelekwa India akiwa hali mahututi - lakini hakutoa ushahidi.
 
Wewe ni nani? Vikaragosi wenzio hawatapata jibu rais utamwona tu pale wakati ratiba yake inaruhusu wewe kapuku kumwona sio kutegemea kikaragosi kilicho Belgium kitapike makande kilichonywesha. Mtakoma miaka hii hamchomoki mtu. Nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
We ni chizi fulani tu toka Lumumba mwenye tabia za "ndiyo mzee"!
Endelea kucheka na kukenyua meno mpaka gego la mwisho.....!!
Mbona ni swala la wakti tu?Kila jambo na wakti wake; kuna wakti wa kucheka, kuna wakti wa Kulia, kuna wakti wa kufurahi na kuna wakti wa kuomboleza pia...!!! Just stay tuned. You've got it coming!!
 
Mimi nadhani kuna kitu, si bure. Km Rais angekuwa yuko salama basi vyombo vya hbr vikubwa vingeshatujuza. Ila kwa hali aliyo nayo, na siri ambayo serikali wanaifanya, sidhan km kuna chombo cha habari kikubwa kinaweza kutoa taarifa hiyo.
 
Kwa wale tunao muamini Mungu aliye mbinguni, muumba mbingu na nchi.

Kwa maneno machache ama mengi kwa nafasi yako, tumuombee mheshimiwa Magufuli. Haijalishi yupo mapumzikoni ama hospitali au ikulu likizo tumuombee maana adui wake wa rohoni na mwilini wapo kazini.
 
Mnamwamini huyu mwehu? Atupe taarifa alizipataje wakati yuko ughaibuni akitumikia mabwana zake? Shame on you Lissu. Unatafuta kiki kirahisi.
Duh umekua mwepesi sana siku hizi kufikia hatua hii? Pole sana unazeeka vibaya!!
20210311_225813.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom