Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Ni ujinga kumwombea Rais mabaya
wewe huzuiwi na mtu kumwombea mabaya rais.maana ndipo ilipo amani ya moyo wako.
lakini Mungu hafanyii kazi matakwa ya mtu mmoja kwa hatina ya wengi.
rais ni mzima wa afya tele.