Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Yaani kumbe kuna watu wengi namna hii wanasubiri "pasaka" yao!
 
Yaani kumbe kuna watu wengi namna hii wanasubiri "pasaka" yao!

Kondoo wa SADAKA yu tayari madhabahuni, tunangoja MOTO ushuke kuteketeza tu.

Ee Mungu, na ijulikane kuwa UPO!
 
Always mnaetamani afe Huwa HAFIIII.
Rf. Mobutu seseko
Rf. Yoweri Museven
 
Egelejagi masumbe mu mbeho, mmho abize atemile bufakale!

Shihangile shitachamelejiwaga.
Shizaga shasamile, shikalekagwa shakaluma miti! Bufakale hu mungu ki ngw'wenuyo? Magufuli ukumona ali Ikulu muda gutinihu kufumila haha. Magufuli akalindagwa na Mungu, atalindagwa na bufakale!
 
Kwa akili yako unafikiri wanasheria huwa wanakataa kazi wakipewa? Awe mwizi, jambazi, mzinzi, dikteta, shoga etc ikifika suala la kuwa mwanasheria wao, makosa wanayotuhumiwa sio ishu tena!
Nafahamu hilo. Hata anayelawiti mtoto wa miaka 2 ana haki ya kupata mwanasheria.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom