Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Unatoa tu pesa,unatoa tu,unatoa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mwishowe zinaanza kukuuma.

Bora akae Nazo mke.

Nyie sasa ndio wanaume[emoji122]
 
Me huwa naachaga inayoitwa kodi ya meza, hayo mambo ya kupanga bajeti ya kula hayanihusu.
 
Wanachukua notes wenye kujielewa lakini
 
Watu kama wewe ukinitembelea kwangu nakuchinjia mbuzi tunakula huku tukipanga mipango yakuwa watu wenye nguvu zaidi nchini miaka 10 ijayo.

Siyo kujadili mambo ya jikoni huku unakuna kidevu, Kazi ya kike kabisa.
Hawa ndo wababa wenye umama ndani yao hawakawii kuesabu minofu ya nyama
 
Changamoto kuacha pesa ukijua atanunua mahitaji yote. Lakini Kuna baadhi wanatamaa, unaacha pesa anagawa papuchi kwa wauza duka na wauza nyanya ili ile abanie.
Nadhani ukibana pesa kwa mkeo ndoanakoishia huko ila ukimwachia pesa wachache watakaojiingiza kwenye mikopo ya hivi mwishowe kuliwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haita faa ndo hao wanaenda Hadi sokoni wenyewe..

Gesi ikiisha wanaanza kununa utafikiri hiyo gesi ulikuwa unajispray..

Ugonilee..
Yaani eti mwanamke unakaa huna hata mia mbovu.
Kuna baadhi ya mapochopocho mwanaume hawezi nunua yote kama jinsi unavyotaka.

Vitu vikiisha anaanza kukununia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ena,ndagha fijo
 
Mi huwa nanunua maana hela unaqwza acha ukalishwa vitu vya ajabu ajabu
Hata vitu vidogovidogo mkuu navyo unanunua wewe??sasa mkeo wajibu wake nini au ukisema nataka kula kitu flani leo sicho utakachokikuta?
 
Na hivi ndivyo inavyotakiwa
 
Ukiona anazingua, unamnunulia mfuko wa sukari kilo 50, unamnunulia mchele kilo 100, unamnunulia chumvi kilo 20, unanunua mafuta lita 50.

Upime tena atamanage vipi
Hivyo vitamanagiwa ila huwezi kosa ombwa ela ya mkaa,nazi,mboga za majani,kiberiti nk
 
Au tufanye bora anayefanya vyote kwa pamoja
 
Na huu ndouanamume,anaewaza viberiti na nazi sijui atawaza lini maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…