Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unatoa tu pesa,unatoa tu,unatoa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mwishowe zinaanza kukuuma.Kuna siku wife nlimuambia kuwa hata kama hii pesa ya gesi nikikaa nayo mimi lazima niitoe tu pale ambapo gesi itaisha hivyo hakuna faida ya kukaa nayo mimi wakati ina matumizi yake ambayo lazima itumike,sasa kukaa nayo nafaidika nini ?
Ingekuwa ukikaa nayo na matumizi yanapungua hapo sawa
Alafu kitu kingine ni kuwa naona inanijazia wallet tu wakati sio yangu ile pesa.
Alafu ukikaa nazo mwanaume pesa za matumizi stress zinazidi unaona unatoa tu pesa,unatoa tu pesa,unatoa tu pesa,unatoa tu pesa,unatoa tu pesa,unatoa tu pesa unatoa tu pesa mpaka unajiuliza heee inakuwaje pesa inaenda hivi,kumbe ungemuachia wife kila kitu wala yasingekuja mawazo hayo
Bora akae Nazo mke.
Nyie sasa ndio wanaume[emoji122]