Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Huwezi elewa hayo mambo ya kiuchumi kwanini nchi nyingine ziliendelea na nyingine ni maskini mpaka leo
China, japan, na korea kusini ni ngumu sana kwa kampuni ya foreigner kushinda tender na hata masoko yao yako dominated na domestic company
Hata siku moja hatuwezi kujimia ubavu na sheria za mataifa kama Uchina, Japani au Korea Kusini! Wametuzidi kuanzia sheria mpaka watu wanaohusika na sheria! Kiufupi ni kwamba Sheria zetu hazizuii wala kuweka kipingamizi kwa zabuni kupewa mgeni ikiwa tu ametimiza matakwa na kanuni! Mchakato wa Zabuni katika nchi hizi ni tofauti pia kutokana na kiwango cha ujumuishi wa wananchi wake.