Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

Huwezi elewa hayo mambo ya kiuchumi kwanini nchi nyingine ziliendelea na nyingine ni maskini mpaka leo

China, japan, na korea kusini ni ngumu sana kwa kampuni ya foreigner kushinda tender na hata masoko yao yako dominated na domestic company
Hata siku moja hatuwezi kujimia ubavu na sheria za mataifa kama Uchina, Japani au Korea Kusini! Wametuzidi kuanzia sheria mpaka watu wanaohusika na sheria! Kiufupi ni kwamba Sheria zetu hazizuii wala kuweka kipingamizi kwa zabuni kupewa mgeni ikiwa tu ametimiza matakwa na kanuni! Mchakato wa Zabuni katika nchi hizi ni tofauti pia kutokana na kiwango cha ujumuishi wa wananchi wake.​
 
Maisha yanahitaji uthubutu bila kuwa na uthubutu utabaki hivyo hivyo
Hata Mungu anawasaidia watu wenye uthubutu

Mafanikio hayaletwi mezani bali yanapiganiwa
 
Kikubwa ambacho wametuzidi ni uthubutu tu
 
Natamani ungekua unaelewa how govt tender worjs kwa nchi za kiwaki kama zetu.

Iko hv, hadi hyo zabuni inatangazwa na kupewa mchina, lazma ma teni pasenti kibao yashawekwa humo kati.

Mchina anafuata mashine huko kwao at a throw away price analeta, hapati hasara yoyote.

MZawa sasa, utanunua mashine kwa bei kubwa, utazifanyiq logistics mpka zifike hapo ni gharama ya kutosha..

Hyo hela ikitoka, kuna cheni ya watu kama 8 hv wote wanataka mgao, hapo unapata faida gani??
Mwisho mzawa analeta bidhaa za kiwango duni apate faida na pesa ya kuilipia hiyo chain ya 10%.
Afya zetu muhimu bora apewe mchina alete vitu bora.
 
Copy & paste

Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.

UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika

Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana
Sijui logic ni nini nje ya ufisadi tu!!! Na watu hawako accountable kabisa maisha yanaebdelea na wanaujasiri kuja kusifia ile hali wanemsifia ndio wanamchafua kwa matendo yao wao wenyewe, bila kua sheria kali zitskazokuja kuuwaumiza hawa wabadhilifu wataendelea kulidhurumu hili Taifa na tutaendelea kuchelewa ila kuna watu nimajambazi yaliyovaa suti kula kodi zetu,kutoa tender kwa mgeni sio issue kama sifa anazo tatizo hicho alichouza na bei yake ukimuuliza hata waziri hivi hiyo bei unaweza nunua mashine yakutumia nyumbani kwako au kama una ofisi ya laundry unaweza nunua kwa bei hiyo? Lakini vijana wasaka teuzi kucha kusifia na ile hali wana maisha duni yakifukara wakitarajia waje kuteuliwa nao watuibie 😀😀😀
 
Mwisho mzawa analeta bidhaa za kiwango duni apate faida na pesa ya kuilipia hiyo chain ya 10%.
Afya zetu muhimu bora apewe mchina alete vitu bora.
Hiki ndo ambacho nadhani hata wabongo tunakifahamu! Ingekuwa ni elimu sawa ila afya za watu halafu apewe mbongo! Hapo ni matatizo matupu!
 
Copy & paste

Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.

UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika

Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana
Pole Mkuu...hukuweka kitu kidogo Nini ? Hii ndio Tanzania
 
10%

Mmtatoa nyie

Ova
tenda zote zinalolewa kwa mujibu wa Sheria na kwa kuzingatia sifa, vigezo, viwango na ubora wa bidhaa na huduma husika 🐒

suala la eti kwa vile fulani ana bei ndogo, hali ya kua hana vigezo, na bidhaa na huduma ya mbovu ati apatiwe zabuni ni useless 🐒

lazima ubora wa huduma uwe katika kiwango bora na imara 🐒
 
Chukua kinywaji chochote hapo nakuja kulipa Mkuu!
 
Ndo wabongo Mkuu! Tuvumiliane
Anatoa mifano ya China Japan na Korea kulinganisha na Tanzania??wenzetu huwa wanakula maharage ya wapi??CAG so juzi tu ripoti imetoka Kuna Aliekamatwa Wala kuhojiwa kwa wizi???
Tukubali tu sisi uwajibikaji Zero,WIZI A uaminifu F,
Si Kuna mkandarasi mzawa tabora alijenga kijumba Cha mlinzi kwa milion 17??? Waziri mkuu maajliwa alienda na hakumfanya chochote
 
Ubinafsi wa kiwango cha kitaifa huo kutaka tenda apewe mtanzania tuuu hata kama hakuna mtanzania anayezalisha hizi mashine.

We are global citizens. Sio akili kuhangaikia vya ndani hata kama vya ndani viko na gharama na hasara kubwa.

Cha kwanza tuweke kwanza mazingira ya miundombinu inayosapoti hivyo viwanda. Na inaanza na mwananchi anayezalisha humo kiwandani kutilia mkazo ubora na viwango sio kusubiri tu kulindwa na sheria za ushuru.

Lazima kubeba jukumu, responsibility kwanza unazani dezodezo tu eti kupewa tenda. Kupewa!!? Sio kupewa ni kushinda bro
 
Copy & paste

Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.

UKiangalia Tanzania kwa sasa hivi hali ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida sababu hakuna "tricke down effect" nikimaanisha kuanzia kwenye miradi mikubwa hadi midogo ya kununua washing machine wanapewa foreigner na hawa foreigner huku Tanzania na Afrika ni kwa kuvunia fedha hawaekezi kabisa huku Afrika

Viongozi wasipobadilika hali itakua mbaya sana
Wachina kutoa rushwa siyo issue
 
Kwanza nikujibu zabuni hazitolewi Bali hushindaniwa,pili inatengemea na njia na thamani ya zabuni husika,kama zabuni ilikuwa na thamani kubwa ya kushindaniwa na wazabuni wa kimataifa huyo mchina kupata ni haki yake,pia kama ililenga kununua viwandani ili kupata unafuu wa gharama niambie Kuna kiwanda gani za washing machine cha mzawq.??utoaji wa zabuni unapngozwa kwa sheria siyo kwa hisia na kwa kuanzia 2019 tulipoanxa kutumia mifumo huwez kuwasilisha zabuni nje ya muda uliopangwa!! Hii yako tunaeza kuiweka ktk kundi la majungu!!
 
Back
Top Bottom