Hilo silijui ila haya mashambulizi hayawezi kuwazuia Houthi bro.Kwa hiyo sifa ni kubaki na uwezo wa kurusha makombora?
Hawaangalii casualties?
Anga lishafungwa na bandari na hakuna atakae tua Tena pale Ben GurionLengo halikuwa kuwanyang'anya uwezo wa kurusha makombora. Lengo ni kulipiza kwa kile walichokifanya na kujisifia kuwa watafunga anga la Israel, yule msemaji wao sijui alilewa mirungi.
Ungemjibu tu sababu swali lake lina mantiki... Je, ndege zinazoitwa za Israel ni za Israel kweli au ni zile za marekani zinapaa kutoka kwenye meli zake hapo baharini?Ya
Yaani huyo mjinga siwezi hata kumjibu kwasababu hata uwezo wa kusoma Kiswahili bado ni taabu kwake, wajinga kama hao dawa Yao naangalia Tu comment zao
Kufunga anga la Israel Houthi wanaweza.Lengo halikuwa kuwanyang'anya uwezo wa kurusha makombora. Lengo ni kulipiza kwa kile walichokifanya na kujisifia kuwa watafunga anga la Israel, yule msemaji wao sijui alilewa mirungi.
Reapripe
Pole, fatilia mambo mkuu.Anga lishafungwa na bandari na hakuna atakae tua Tena pale Ben Gurion
Yemeni hilo naweza sema ni shambulio hata la kumi anashambuliwa ila hatoacha alichokipanga.Kimewaka
Wameuwasha moto wenyewe atauzima nani
Usimchokoze yahudi kabla hujavaa bomu
Al hajj please punguza ukali WA maneno.Mjinga baba yako mzazi msenge wewe.
Umeleta mada watu tunachangia mie nimechangia mada sijakutafuta wewe.
Subiri utaona kesho utasikia walowezi wa kiyahudi wameamshwa saa 12 asubuhi na makombora ya wayameniSijahakiki habari maana nipo mbali na TV ila shambulio hili naona ni kazi bure maana maeneo yanayosemekanwa kupigwa ni yale yale aliyoyapiga USA wiki iliyopita.
Na shambulio hili ni dogo kuliko la USA la wiki iliyopita.
La USA lilikua kubwa mno na liliua watu wengi zaidi ila bado Houthi walirusha makombora.
Hamna mjukuu wa Genghis Khan.
πππππI knew this would be coming! Vitochi tabu sana hivi. Hongera Kosugi amekupa like.
Unafikiri wataachwa tu, tusubiri taarifa za shambulio la leo maana wamepiga mpaka mji mkuu.Kufunga anga la Israel Houthi wanaweza.
Unadhani wakiendelea kurusha makombora Kuna shirika la ndege kubwa litataka kurusha ndege ndani ya Israel!?
Ndege zote zimetoka Israel huku zikisindikizwa na ndege tatu za KC-135 refueling tanker hizi ni ndege zinazolisha mafuta fighter jets zikiwa angani.Ungemjibu tu sababu swali lake lina mantiki... Je, ndege zinazoitwa za Israel ni za Israel kweli au ni zile za marekani zinapaa kutoka kwenye meli zake hapo baharini?
Wachokozi sana wale wala mirungi.Yemen haitothubutu tena kuwachokoza hao jamaa.
Israel ameshasema ameshirikiana na marekaniNdege zote zimetoka Israel huku zikisindikizwa na ndege tatu za KC-135 refueling tanker hizi ni ndege zinazolisha mafuta fighter jets zikiwa angani.
Mpaka sasa marekani hajatoa tamko bado kama ameshiriki