Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Haha anapiga US afu wanasema Israel yale yale ya walipo muuwa Nasurlah na kupiga Iran. Any way hata kama wamepiga wao target umesikia walizo piga ni zile zile na kiwanda eti muhimu sana kumbe kiwanda cha cement hahahaKutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Hamna siyo wachokozi Mimi nawakubali sana watu wote wameufyata Israel anajipigia tu watoto na raia hapo Gaza. Anawanyima chakula, maji , umeme na mahitaji yote muhimu ya kibinadamu hakuna anaeongea si Umoja wa mataifa Wala nani watu wamebaki kuilaani Israel tu. Hawa jamaa wa Yemen wanatakiwa kuungwa mkonoWachokozi sana wale wala mirungi.
Ndio nasema target zile zile za siku zote alizopiga USA.Haha anapiga US afu wanasema Israel yale yale ya walipo muuwa Nasurlah na kupiga Iran. Any way hata kama wamepiga wao target umesikia walizo piga ni zile zile na kiwanda cha cement hahaha
Boeing 707 Re’em na hii nayo ilikuwepo leo.Ndege zote zimetoka Israel huku zikisindikizwa na ndege tatu za KC-135 refueling tanker hizi ni ndege zinazolisha mafuta fighter jets zikiwa angani.
Mpaka sasa marekani hajatoa tamko bado kama ameshiriki
Ni kweli kabisaa nimesoma hiyo!!!!!Israel ameshasema ameshirikiana na marekani
Taarifa haijitoshelezi toa taarifa na chombo aminika.
Houthi wamethibitisha shambulio limetoka kwa Us na Israel.Kama mfadhili wake marekani kashindwa na manowari zake huyo dogo Israel hawezi lolote
Haha anapiga US afu wanasema Israel yale yale ya walipo muuwa Nasurlah na kupiga Iran. Any way hata kama wamepiga wao target umesikia walizo piga ni zile zile na kiwanda eti muhimu sana kumbe kiwanda cha cement hahaha
View: https://youtu.be/mMZL-iIXlBw?si=akBxYAxhDSuoCn5i
Shukran kwa taarifa.Updates: Palestinians fear ‘second Nakba’, Israel plans Gaza war expansion
These were the updates on Israel’s war on Gaza and the wider region for Monday, May 5.www.aljazeera.com
Ipo Aljazeera
Hawa wazee wa Ngwasuma ukibeep.Wanakupigia na kukupa vifurushi vya haha.Yemen itakuwa majivu kama vile GazaShambulio hili bado sio zito kama la USA la wiki iliyopita.
Nakuhakikishia hao Houthi wataendeleza mashambulizi tu baada ya hili.
Kawaida hiyo Yemeni haijaanza kushambuliwa leo.Hawa wazee wa Ngwasuma ukibeep.Wanakupigia na kukupa vifurushi vya haja
Nilikuwa naona kalio la Sarah mke wa Netanyahu linavyo papaswa na Missiles za Yemen.Sa nini kinakufanya ujichekeshechekeshe upoongea kama vile hujiamini na unachokisema.
Hata Marekani wiki iliyopita alipiga hadi mji mkuu kaka.Unafikiri wataachwa tu, tusubiri taarifa za shambulio la leo maana wamepiga mpaka mji mkuu.
Wewe bado una taarifa za ile tekinolojia ya zamani!!Kuna utofauti kati ya kurusha kombora na fighter jet.
US, UK na Israel wameshirikiana na si ajabu wako warabu wale mapuppets pia lakini Yemen ni kiboko yao hao woteKawaida hiyo Yemeni haijaanza kushambuliwa leo.
Shambulio la wiki iliyopita ni kubwa kuliko hilo la leo.
Red sea meli zinazoelekea bandari ya Israel zinapita kwa amani sasa?Unafikiri wataachwa tu, tusubiri taarifa za shambulio la leo maana wamepiga mpaka mji mkuu.
Hakuna kinacho pita na pia Hata meli za US na UK hazipit Yemen ni kiboko yao.Red sea meli zinazoelekea bandari ya Israel zinapita kwa amani sasa?
Asante kunisaidia kukujua. Unafanana na unenayo na kujichekesha kwako😎Nilikuwa naona kalio la Sarah mke wa Netanyahu linavyo papaswa na Missiles za Yemen.
Wewe umejuaje la leo ni dogo?Kawaida hiyo Yemeni haijaanza kushambuliwa leo.
Shambulio la wiki iliyopita ni kubwa kuliko hilo la leo.