Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

Ni wiki sita toka march 15.
17 April ndio alifanya Mashambulizi 14 hayo unayosema ni mabaya zaidi.
Juzi kaka juzi May tarehe mbili ama tatu USA alifanya mashambulizi achana na hayo ya April.
 
Si useme israel na marekani, israel hakuna vita anaweza pigana peke yake
 
Sishabikii udharim wa Israel .. Ila daima huwa napendekeza asichokozwe ......

Haya wale mlikua mnausema kiama chake kimefika ... Ni zam Sasa ya kuanza kuwaonea huruma watu wa YEMEN. Hasa akina mama na watoto.
 
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?

Ndugu yangu .. Kuna ndege ya tz hapa inaweza kutembea ikibingilika Kama mshale kutoka mbeya Hadi dar GO AND RETURN .. (1000+ km X 2 = 2000KM +) ...

During maonyesho flan Ya uhuru ilielezwa kuwa rubani wake ni mwana mama (rubani wa kwanza wa kike wa ndege za kivita za JWTZ)
Sasa unahoji ndege ya myahudi

. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani. Ntacheka Hadi kesho.

Anyway labda walitupiga Kamba ...
 
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
,Kijana jaribu kutafuta na elimu dunia, Mfano, Ndege ya kivita ya F-16I β€œSufa hii ina uwezo wa kujazwa mafuta angani (aerial refueling), jambo linaloongeza sana uwezo wake wa kutekeleza operesheni za mbali.

Kasi ya juu: (~2,120 km/h)
 
Ungenyoosha tu maelezo masuala ya elimu Dunia achana nayo.
Nilichokua nakilenga mimi ni USA kuisaidia Israel.
Hakuna asiyejua kuwa kuna ndege za refuelling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…