Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

Chris,hapo atamtumia air ticket,kwenda kumchapa mti.
 
Kila jambo ni mipaka yake, hapo talaka lazima imuhusu tu
 
Na mume aliagwa kabisa kwamba mke anaenda owenye Show ya CB SA?
Na yeye akatoa greenlight?
Kama hapana akirudi na wewe anakuta haupo, huo muda wa talaka ataomba yeye
Usikute Mwamba alikua ameshachoka alikua anatafuta gap apige chini hiyo chibonge
 
Kwani ingekuwa ndio mimi ungemind mpenzi wangu? Mdakuzi
Maana mimi pia ni shabiki wa CB.
Mapenzi ni kuhusu kuheshimiana na kuheshimu mipaka ya faragha au maeneo/ vitendo maalum kwa ajili ya mpenzi.

Ukimpa mwingine uhuru huo ni sawa na kumsaliti mpenzi, na kumsaliti mpenzi ni kuvunja uhusiano wenu wa kimapenzi.

Hii huwa ni moja ya kanuni za mapenzi.

Ova
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…