Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Role model kafanya yake huko ZambiaWanaume wa kiafrika kwenye mambo ya ndoa hawana dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Role model kafanya yake huko ZambiaWanaume wa kiafrika kwenye mambo ya ndoa hawana dogo
Alivyobanwa na mikono then busu deeplyNavunja aendelee akiwa huru hilo pozi hamna labda wangepiga picha wamesimama kawaida
Siyo hao tu, mbona wanaume wenye upumbavu ni wengi zaidi!Hivi viumbe kuna mahali kichwani hawako sawa kabisa
Hiyo haikubarikiAlivyobanwa na mikono then busu deeply
Hiyo sio nzuriAlivyobanwa na mikono then busu deeply
Chris,hapo atamtumia air ticket,kwenda kumchapa mti.View attachment 3187774
Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi milion 2 na laki 4),
Ilipofika zamu ya mke huyo wa mtu, Chris brown kama kawaida yake alimkumbata kwa nyuma (kumbambia) na kumpiga busu shavuni
Mwanamke kapagawa akaanza kuirusha picha yake mitandaoni kwenye status za whatsapp, anaringishia wenzake kapiga picha na Chris
Wanaume wa kiafrika kwenye mambo ya ndoa hawana dogo, Mume yupo kwenye harakati za kuvunja ndoa,
- Hakuna mwanamke anaemuheshimu mme wake atamruhusu mwanaume mwengine kumbusu na kumbambia hadharani
- Kulipia milioni 2 na laki 4 kwa picha ni kukosa nidhamu ya pesa
- Mwanamke kama unataka uhuru endelea kuwa single au mchepuko, huna haja ya ndoa
Hili somo liwekwe kwenye syllabus za ndoaHuyu jamaa apewe Maua yake,katisha Sana.
Wanaume tuna la kujifunza kutoka kwa huyo mwamba
Usikute Mwamba alikua ameshachoka alikua anatafuta gap apige chini hiyo chibongeNa mume aliagwa kabisa kwamba mke anaenda owenye Show ya CB SA?
Na yeye akatoa greenlight?
Kama hapana akirudi na wewe anakuta haupo, huo muda wa talaka ataomba yeye
Mapenzi ni kuhusu kuheshimiana na kuheshimu mipaka ya faragha au maeneo/ vitendo maalum kwa ajili ya mpenzi.Kwani ingekuwa ndio mimi ungemind mpenzi wangu? Mdakuzi
Maana mimi pia ni shabiki wa CB.
Safi sanaView attachment 3187774