Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Mkapa hayupo ccm inaanzaje kushinda kwa mfano. ZNZ inakwenda kwa ACT bara saa 4 mapema anachukua Lisu,wametutesa sana hawa madhalimu tukirudia kosa tumekwisha nafasi peke eni october ya kulipiza kisasi kama uliumizwa
 
Mkapa hayupo ccm inaanzaje kushinda kwa mfano. ZNZ inakwenda kwa ACT bara saa 4 mapema anachukua Lisu,wametutesa sana hawa madhalimu tukirudia kosa tumekwisha nafasi peke eni october ya kulipiza kisasi kama uliumizwa
Watanzania tuamke jamani, tueteseka sana! INATOSHA!
 
Wabara wana maamuzi 90% sababu wamewaeka vibaraka wao kule Zanzibar,
Maalim Seif akikamata serekali either watanyooka au wabara wenyewe ndio watavunja huo Muungano

Hapo sawa.
 
Hekima na Busara inahitajika sana Zenji wakati huu kuliko nyakati yeyote..

Hawa watu wawili ZZK na BCM ni hatari sana kwa mustakabali wa CCM zenji, Seif ananguvu kubwa sana Zenji alizidisha sana upole na hekima kwenye chaguzi zote... uwepo wa ZZK na BCM na misimamo yao kunaweza kutokea hatari Zenji hekima na busara ikikosekana kwa wenye mamlaka..tuwe makini na maamuzi yetu...
 
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja...
ACT mnatumika katika kugawa Kura.
CCM wanalalamika mtagawana nao Kura na CHADEMA kumuliza game Mapema
 
Washaaaaaa washaaaa act wazalendo. Ndio chama pekee kikubwa cha upinzani ninachokiamini. Kina watu wasomi wenye kuujua uongozi. Watanzania tunawapenda sana act wazalendo. Membe Mungu akubariki uwe rais mupate wabunge wengi sana.
ACT kinaenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani.
CCM inaenda kufutika katika uso wa Dunia.
CHADEMA inakuwa chama Tawala
 
Nilikuepo muda huo ulioutaja! 67 yrs from today nilikuwepo duniani! Mwaka huu hawaibi na wakaachiwa, Bensouda wa ICC ajiweka tayari kuchukua ushahidi!
Bensouda? Really?
Aje haraka maana ishakuwa kero kutawaliwa kimabavu kinyume na mapenzi ya wananchi/wapiga kura
 
Amini nakwambia si Zanzibar si Tanzania bara, CCM wanapigwa kote mwaka huu!!
 
Kwakweli maalim ni kisiki Znz.Huu ni ukweli ulio wazi.HUSEIN MWINYI hamuwezi Maalim.Kwa Znz tukae mkao wa kuliwa mwaka huu.Siioni namna ya kushinda.
I said it before. Maalim amekuwa akihongwa na kuuza ushindi, mzee Nassoro Moyo amewahi kuliweka wazi hilo. Kwa timu aliyonayo Maalim mwaka huu hana tena nafasi ya kufanya ujinga ule. ACT kwa upande wa Zenji wakae mkao wa kula.
 
Back
Top Bottom