Tangänyïkä imemwagiwa mchanga machoni.

Mtu anakuja nyumbani kwako halafu anakwambia hii sebule ni ya kwako ila hii dining hata kama imeunganika na sebule yako lakini ni ya kwangu na ushahidi ninao kama utabisha.

Baadae anakuja tena anakwambia huko vyumbani endelea kukaa kaa, tutajadili na penyewe tuone tunafanyaje!
 
Hili sio swali. Ardhi ya Tanganyika itakuwaje mali ya Zanzibar. Hukosoma jiografia? Hujui mipaka ya Zanzibar inapoishia? Rudi shule.
Serikali ya China inamiliki ardhi kubwa tu USA kwahiyo sishangai.. umiliki wa ardhi Tanzania si kwa mtu/taasisi yoyote? kama sheria zenu wa kumiliki ardhi ni dhaifu hata Somalia itakuja kununua ardhi huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…