Mkuu huu ni uchokozi mkubwa kama aliofanya idd Amin, na kunapoint yako sio ya kubeza ya kupindua Tanganyika ,kumbuka uyo rais wa uko amekua wizara ya ulinzi miaka mingi, ila naona anachokitafuta atakipata , watangulizi wake mbona hawajawahi lisema hili ,kunani
 
Wakati huohuo mwananchi wa Bara haruhusiwi kumiliki kipande cha ardhi huko Zenji. Hata kuishi kule unahitaji kuwa na kibali unlike wazenji huku Bongo wanajivinjari tu.
 
Wanzanzibari acheni uchokozi mbona Zanzibar yote ni mali ya Tanganyika tangu enzi za kale.
 
Wakurya wanalia dhidi ya Grumeti na Barrick Gold hadi Mbunge naye anaungana nao kulia, kwahiyo watani zangu Wakwere nao wajiandae kulia?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Katika hati yenye lease au umiliki wa miaka 99, tayari 46 imeliwa Tanganyika tuchukue chetu. Kwanza wamekiuka masharti kwa kutoendeleza hadi leo. Walipewa wafuge ng'ombe pale.
 
Idd Amin alivyotaka Kagera tulimtandika, huenda leo pia tungekuwa na miungano 2 ya Tanganyika na Znz na pia Tanganyika na Uganda na sasa tungekuwa kupitia muungano tunamiliki mafuta ya Ohima[emoji16][emoji3][emoji23]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mm ni kijana tu ila nimemuuliza Mzee hapa kanambia iyo ishu wala sio ngeni

Zanzibar walinunua hilo eneo la makurunge kwa ajili ya ufugaji kipindi cha Aboud Jumbe ila watu wakafanya yao huo mradi ukafa lakini ulifanya kazi kma 15yrs kwaio msipende kukurupuka vijana ambao hamjui historia

Mbona mazimbu kule wanamiliki wadizonga(wasouth) na hamjapayuka hivi
Kma hatujui historia vijana ni bora tukawaulize wazee
 
Kwahiyo tungemuachia Idd Amin Kagera na Mwanza?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ishia hapo hapo. Ukitaka kutuletea mipaka ya kikoloni, Zanzibar yote itaamgukia ndani ya Tanganyika. Bora tu ukae kimya. Usichokoze nyuki ilhali huna uwezo wa kutimua mbio, shauri yako!
nenda ukasome vizuri historia halafu uje na stori za kutimua mbio
 
Historia ya kama ile ya Rwanda na Burundi kuwa zilikuwa sehemu ya Tanganyika wakati wa ukoloni wa Kijerumani inatusaidiaje leo kwa mfano?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ama wana uraia au wana vibali vya ukazi kwa ajili ya kutunza urithi wa historia ya pale kwa kuhusiana na harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kama serikali hiyo hiyo ilipindua Historia ya Tanganyika na kupotosha umma iweje Leo washindwe kuipindua tena.
Wamefichaficha wee sasa vinaanikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…