Kwani mm nimekwambia ukasome historia ya burundi na Rwanda?Historia ya kama ile ya Rwanda na Burundi kuwa zilikuwa sehemu ya Tanganyika wakati wa ukoloni wa Kijerumani inatusaidiaje leo kwa mfano?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kumbe hujui chochote hlf kelele tuuAma wana uraia au wana vibali vya ukazi kwa ajili ya kutunza urithi wa historia ya pale kwa kuhusiana na harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ni cancer inayoila taifa.Niongezee tu pia kutwa ni Diamond, Zuchu na Chinga
Uliandika hivi:Kumbe hujui chochote hlf kelele tuu
Apo Mazimbu kwa sasa hakuna msouth anaeishi ple zaidi ya makaburi,shule na yale majengo ya chuo
Leo broo umegonga ikulu,umenikumbusha history niliyosoma form five na six,watu hawajui mpaka ilipo ikulu Hadi mnazi mmoja ilikua Mali ya sultani wa ZanzibarTanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Endelea na uzalendo wako.Mkuu two wrongs cannot make one wright. Kwa hiyo unataka kuhalalisha uvamizi na uporaji wa ardhi ya Tanganyika halafu watanganyika watalima au kujenga wapi? Kuwa mzalendo hata kidogo tu basi.
Ww jamaa akili zako zimeenda likizo kma likizo ya shule ya mwezi huuUliandika hivi:
Mbona mazimbu kule wanamiliki wadizonga(wasouth) na hamjapayuka hivi
Kma hatujui historia vijana ni bora tukawaulize wazee.
Swali:
Sasa hivi unasema ni makaburi yapo pale je, marehemu wanamiliki ardhi?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Duuh🙄
Ukifuga pimbi anaota mkia.
Ukute wanatikisa tu kiberiti halafu wanasikilizia!!!
Dawa ni kugeuza Zenji iwe wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani
Watu wenyewe wapi milioni moja tu ila wanatuburuza sisi milioni sitini
Tunasikitika pamojaNdio jibu gani hili sasa mkuu?
Ni uswenge na ubaguzi kujikuta wao ni waarabuWakati Kenya unaruhusiwa endesha
Uko sawa usaili uliopita kuna kiwango kikubwa sana cha recruitment toka zanzibarZamani tulisema wakurya ndio maafande. Ila kwa sasa Zanzibar ina maafande wengi sana yawezekana baada ya muda watapita idadi ya wakurya. Sijui ninachokisema ‘kichoggo mimi’
is this a spinoff?Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.
Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.
======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.
Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.
Pia soma: Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku na 4,000 Coast villagers face land loss to investor
Ndivyo Watz tulivyo, kibaka mmoja ananyoosha mtaa mzima wenye watu 500 na bastola 20 kwenye nyumba za vibopa huku yeye silaha yake ni bisibisi tu. Mtz anachoweza ni Usimba na Uyanga tu baas labda na upigaji na wake za watu.Ni ajabu na kweli.
Kwenye sekta zote nyeti. Mimi sasa hivi nahangaikia uraia wa Znz, najuwa nitaambulia japo U- RC kwa sifa zangu. Sasa hivi niko kwenye programu ya kujifunza Madrasa kwa juhudi kubwa ili niweze kufit kwy community ile.Uko sawa usaili uliopita kuna kiwango kikubwa sana cha recruitment toka zanzibar
Ni kama kuna kitu kinatengenezwa
Na kuna vitu navijua kuhusu Jengo la Ikulu yetu ya Magogoni, wakoloni Wajerumani na Waingereza walivificha!. Ikulu ni mjengo wa Kiarabu ulijengwa na Sultan of Zanzibar, kulikuwa na misikiti mule, na kuna makaburi. Waingereza walipochukua nchi kutoka kwa Wajerumani, wakavunja misikiti na kutundika msalabani!. Wakajifanya wamejenga wao!.Leo broo umegonga ikulu,umenikumbusha history niliyosoma form five na six,watu hawajui mpaka ilipo ikulu Hadi mnazi mmoja ilikua Mali ya sultani wa Zanzibar
Mpuuzi mkubwaNdio hayoo unaongea bila kufikiri, ALEYOMBA GEKKE kabla hujacomenti tuliza kichwa kwanza, sio unatusemea wote mzee