Asante sana kwa kumjibu huyu. Ameshasema anaingia kwenye siasa, na hili la muungano ni la ccm walioishiwa mawazo na maono ndio wanang'ang'ania
 
Tukiendelea kucheka na Zanzibar itakuwa kama Urusi kwa Ukraine, kuna siku watasema na Dar ni mali yao
Kabisa bob. Unajua shida iliyopo tumesurrender mamlaka ya maamuzi kwa watu binafsi wanaojinasibu kuwa ni viongozi wa kitaifa na wao kwa kiburi hicho wanaendesha taifa na taasisi zake kama mali binafsi wakijisahau kuwa kuna wenye fainal say , sisi , Wanainchi.

Sasa ni muda muafaka wa kutwaa mamlaka yarejee kwenye taasisi zetu ambazo tunazitambua. Hawa washenzi tuwaexpel kama wadudu wengine waharibifu.
 
Mkuu, eneo la Razaba sio geni, sina kumbukumbu za miaka sahihi lkn hayati JK Nyerere ndio aliwapa Zanzibar hili shamba lwa matumizi ya ranch,. Lkn Znz ilishindwa kuendelea na hiyo project, Basi serikali ya Tanganyika wakalirejesha ilo ilo na likawa sehemu ya hifadhi ya saadani,


Miaka ya 2010's walikuja wa Sweden ambao walilenga kuanzisha kilimo cha miwa na waka kabidhiwa ilo ilo eneo , sababu ya mdororo wa kiuchumi SEKAB wakashindwa kuendelea na mradi kisha wakaja kampuni Eco energy hawa walienda mbali zaidi waka anzisha mpaka na vitalu pale Makurunge darajqn ... Lkn baadae wakashindwa ... Niliwahi kusoma rrepoti moja ya Action Aid inahusu Biofuel production and Land grabbing Tz, ili toa historia nzuri ya eneo la Razaba, ..
 
Sasa huoni kama huo ni upumbavu?!
Yes Kila Mzanzibari ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari!. Wenye haki Zanzibar ni Wazanzibari wakaazi.
P

Excerpt.
"Kila Mzanzibari ni Mtanzania ana haki zote za Utanzania"

Mbona hawawi ma RC, ma DC na ma DED bara!?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wewe sasa unachofanya ni kutuchekecha.
 
Anakera balaa aisee halafu sijui ana enjoy sisi tunavyomind ?!
 
Yaani nilijua ni mm tu nashangaaga sana asubh hadi jioni ni simba na yanga wakibadili ni diamond na fantana..dah we are dumped...[emoji849]
Taifa lina media za hovyo sana. Matatizo lukuki kwenye taifa vipindi 24/7 ni miziki ya hovyo, na vipindi vya ujinga ujinga tu. Cha muhimu kilichobakia kwenye local channels ni taarifa ya habari tu na sio vinginevyo.
 
TAIFA DOGO LIMELIMEZA TAIFA KUBWA.WATANGANYIKA TUAMKENI CCM IMETUINGIZA UTUMWANI. HAWA WAZANZIBARI WAKIWA WENYEWE WANATUTUKANA NA KUTUDHARAU SANA SISI WATANGANYIKA.
UNARUHUSIWA KWENDA MOROGORO NA KUJITWALIA EKARI ZOZOTE UPENDAZO BILA SHIDA YOYOTE ALIMRADI UFUATE UTARATIBU.
 
Acha mambo ya kipuuzi, mambo afenye mkoloni bado tunayashikia bango kwamba ni ya ukweli wakati muungano tulionao sisi hatuutaki sababu umejaa mapungufu kibao. Mambo ya mjerumani na muarabu hayatuhusu, wote walititawala kimabavu na kufanya makubaliono wao wenyewe bila kuwahusisha wenyeji. Mambo ya kipuuzi kabisa
 
Kati ya maamuzi ya OVYO aliyowahi kuyafanya mwalimu Nyerere ni huu uzembe wa kuwapa ardhi wazanzibar ndani ya Tanganyika. Ni uamuzi wa kijinga sana. Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi kuwapa ardhi hawa wapuuzi.

Lakini kwa kuwa sasa haiendelezwi lazima irudishwe mikononi mwa wananchi ili watanganyika wapate ardhi ya kulima au kujenga. Na kama watawala hawataki kuigawa, wananchi tutainyakua kwa nguvu.
 
Ndio tayari lipo kwenye mikono ya wazanzibari! Lkn ni taarifa yenye kuvutia na kushangaza!
 
Imefika mahari tunazungumzia uzanzibari na ubara? Kwahyo kumbe ni hoja iliyofunikwa na historia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…