Kwetu ni Kwao na kwao kusiwe kwetu kwa nini? "Saadan Kandoro. Tukiwa kwao sisi Wabar* ni wawekezaji kama wengine wakija kwetu WaZbr ni wenyenchi. Siasa za Ma*taka
 
Msingi wa uhalali wake ni nini?
Aboud Jumbe aliomba kwa Nyerere akamegewa. Ila kwa vile SMZ ilikilitekeza kwa miaka mingi, kama limevamiwa na wenyeji, then sheria yetu ya Ardhi itatumika to resolves,

Ukilitelekeza eneo kwa muda fulani likavamiwa, mvamizi Akira miaka fulani na kuliendeleza, kisha wewe ndio akaibuka, yule mvamizi naye anahaki ya kulipwa fidia maendeleo alioendeleza.
Anaweza kutambuliwa rasmi na SMZ kupokonywa.
P
 
👊
 
Tukiendelea kucheka na Zanzibar itakuwa kama Urusi kwa Ukraine, kuna siku watasema na Dar ni mali yao
 
Ni sawa kama kuna mkataba na mzanzibar anahaki zote kumiliki ardhi Zanzibar,ila kama Mtanganyika nayeye anahaki ya Utanzania kwanini yeye haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar wakati sisi wote status yetu wote ni Watanzania?
Japo Zanzibar ni sehemu ya JMT, lakini ina special status ya utawala wake wa ndani. Status ya Utanzania ni kwa Tanzania bara tuu, lakini kwa Tanzania Zanzibar, status ya Uzanzibari ukaazi, applies!.
P
 
Kwenye masuala ya muungano, hivi ardhi imezungumziwaje mkuu?.
Na kumbe cha bara ni cha wote na cha Zanzibar ni cha wageni?.
 
Hawa madogo wanajifanya watu muhimu sana hapa nchini na wasipodhibitiwa watatupanda kichwani.

Wanapaswa kuwa treated kama wilaya ya bara kwa kutumia mabavu maana wanapoelekea siyo kuzuri.
 
Mbona unapotosha, kwani hata ingekuwa raia anamiliki, mtu mwingine angegawiwa?
 
Kwanini mkuu unazidi kuwa mtu wa hovyo sn? wewe unaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar? kama ni sehemu ya Jamhuri ya muungano kwanini na sisi tusiwe na haki kama wao? 2021 nilinunua pickup Zanzabar ushuru ambao nilipigwa bandarini utadhani gari nimeitoa Japan, acha mambo ya ajabu kama shida ni tumbo sema sisi tufanye harambee tukuchangie ununue bajaji TV
 
Kama ZMZ ni sehemu ya JMT inawezaje kumiliki ardhi ambayo yenye ni sehemu mojawapo? Dar es Salaam inawezaje kumiliki ardhi ndani ya Morogoro?
Kumiliki wa Ardhi ni popote, Dar inaweza kumiliki Ardhi Morogoro, Tanzania ikamiki ardhi Kenya, pale Rusomo kuna ardhi ya Rwanda, Burundi na DRC. Maeneo yote ya Balozi zote za nje ni maeneo yao na sio sehemu ya Tanzania, ukifanya uhalifu ukakimbilia Umoja House au American Embassy, polisi haiwezi kukukamata!.
P
 
Paschal anaweza kuuza nchi kwa njaa zake, aende kwenye kaburi la dikteta Makufuli akatupu toka alivyoitwa Paschal njaa badala ya Paschal Mayala na Magufuli akapotea moja kwa moja, Magufuli aliamini Paschal anasumbuliwa na njaa wala hana lolote kwanza walikuwa wanafahamiana vizuri tangu mwanzo(Paschal mwenyewe alisema).
 
Kwenye masuala ya muungano, hivi ardhi imezungumziwaje mkuu?.
Na kumbe cha bara ni cha wote na cha Zanzibar ni cha wageni?.
Ardhi ya JMT ni ya Watanzania wote wakiwemo Wazanzibari lakini Ardhi ya Zanzibar ni kwa Wazanzibari pekee. Wageni wanamilikishwa for investment.
P
 
Wewe una ardhi Zanzibar? tuache bhana tutakuja kukushushia matusi asubuhi asubuhi sisi siyo watoto wadogo unatukwaza na njaa zako kutetea upuuzi wako hapa. Askofu Shoo ni mjinga alivyolalamika mbele ya Mwinyi kuwa kwanini wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar? njaa imekuharibu sn nenda kwenye kaburi na dikteta Magufuli ukatubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…