Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
Sishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
Yaani nilijua ni mm tu nashangaaga sana asubh hadi jioni ni simba na yanga wakibadili ni diamond na fantana..dah we are dumped...🙄
 
Sishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
Tuamke tuuvunje huu muungano fake haraka wazanzibar waondoke kwetu
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Tangazo la katazo la kutofanya shughuli yoyote ndani ya shamba hilo lipo? au mnataka watu walime na kujenga.
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Mw Nyerere aliwapa hili eneo kwa ajiri ya kunenepesha Ngombe watakao kuwa wanaliwa Zanzibar. Watu wakalivamia na kuuziana! Mgogoro wa hili eneo upo miaka mingi toka Enzi za JK
 
Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.

Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.

Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Basi Rwanda na Urundi nazo zirudi Tanganyika Kama ilivyokua dola ya Ujerumani kipindi hicho Cha 1880's. Unaona ni sawa hiyo?
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Ila sisi ngozi nyeusi daaah,,,naanza kuwaunga mkono wale wanaosemaga "bora kuzaliwa mbwa ulaya"
 
Mbona limeibuka kipindi hiki na si wakati uliopita mkapa kikwete magufuli Kuna kitu hakipo sawa
Watu hamfuatilii mambo kwa undani. Tokea kifo cha Magufuli na baada ya kuondolewa Lukuvi wizara ya ardhi sasa hivi kila mahali nchi nzima ni migogoro ya ardhi kuanzia Mabwepande hapo DDC na NSSF wameibuka wanasema eneo lao, huko Bagamoyo Fukayosi wanasema ranchi ya Taifa, SMZ nao wanataka eneo lao huko Bagamotyo, Mbarali nako vijiji zaidi ya 29 eti vipo hifadhini, Morogoro watu wamevunjiwa nyumba kabisa, Kigamboni nako hakujatulia, Kibamba nako kunafukuta na huyu mdudu anayeitwa DDC hapo nikitaja maeneo machche tu maana migogoro ni mingi mno kipindi hiki.

Kwa aliye karibu na raisi Samia amwambie tu kama kuna kitu kitakachomuangusha yeye na chama chake kwenye chaguzi zote zinazokuja hivi karibuni kuanzia wa serikali za mitaa mwaka 2024 basi ni hii migogoro ya ardhi kwani ardhi ndio urithi kwa masikini baada ya elimu.
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Naona Ali karume anaendelea kujibiwa kuwa sio lazima uzaliwe zanzibar ndio uwe Rais,unaweza zaliwa Bagamoyo na ukawa mzanzibari safi kabisa na ukapigiwa kura ukawa Rais wa Zanzibar!!!!

Hapo sawa sawa!!

Kazi iendelee!!
 
Ukilitelekeza eneo kwa muda fulani likavamiwa, mvamizi Akira miaka fulani na kuliendeleza, kisha wewe ndio akaibuka, yule mvamizi naye anahaki ya kulipwa fidia maendeleo alioendeleza.
Anaweza kutambuliwa rasmi na SMZ kupokonywa.
Tatizo ni pale Smz wanapotoa kauli kana kwamba hilo eneo ni sehemu ya nchi yao!
 
Paschal anaweza kuuza nchi kwa njaa zake,
Uzalendo wa mtu uko moyoni mwake!. Nimeishi UK, nikahamia US, wife na watoto wakabaki kule, mimi nikarejea Bongo kwa uzalendo tuu.
aende kwenye kaburi la dikteta Makufuli akatubu
Nikatubu kwa kosa gani?.
toka alivyoitwa Paschal njaa badala ya Paschal Mayala na Magufuli akapotea moja kwa moja, Magufuli aliamini Paschal anasumbuliwa na njaa wala hana lolote
Ni kweli kuna kauli zinaumba, kabla ya kuitwa njaa, nilikuwa na 6 government contracts za Publicity, nikilipa kodi ya mishahara ya RC na DC. Baada ya kuitwa njaa, contracts zikafutwa njaa ikanitembelea kweli. Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
kwanza walikuwa wanafahamiana vizuri tangu mwanzo(Paschal mwenyewe alisema).
Ni kweli tulikuwa tunafahamiana vizuri kabla hajawa rais nikienda pande zile nafikia kwake!. Ni mimi ndiye mtu wa kwanza ile 2014 kueleza humu kuwa JPM ndie anakwenda kuwa rais wetu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, ni mimi nilieleza humu kuwa JPM ni dikiteta Tanzania iliyomuhitaji Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!, ni mimi niliyeeleza humu the consequences ya udikiteta wake Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! . Ni mimi nilieleza nia ovu ya mabeberu kumuondosha US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? nikawaeleza wake jamaa zetu kuhusu mpango huu Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya? hawakusikia!, watu wa kazi zao wakafanya yao!, bado ni mimi ndio nimeelezwa mahali alipo sasa Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani hivyo namjua inside out!.

P
 
Kwa aliye karibu na raisi Samia amwambie tu kama kuna kitu kitakachomuangusha yeye na chama chake kwenye chaguzi zote zinazokuja hivi karibuni kuanzia wa serikali za mitaa mwaka 2024 basi ni hii migogoro ya ardhi kwani ardhi ndio urithi kwa masikini baada ya elimu.
Una hoja ya msingi..
Ila uzuri ni kuwa huwa hatuhitaji kura yoyote Ili kushinda uchaguzi.
 
Wazanzibari wameteseka sana bila kuwa na rais wa Muungano kwa miaka zaidi ya 25. Huu ni wakati wao wa kuvimba🍿🍿🍿
 
Tatizo ni pale Smz wanapotoa kauli kana kwamba hilo eneo ni sehemu ya nchi yao!
No, ZMZ kumiliki eneo bara hakulifanyi eneo hili kuwa sehemu ya Zanzibar, aneo la JMT ni eneo la JMT, no one can take it out.

Naomba kujua mkuu
Sheria zinasemaje kuhusu matumizi ya ardhi
Kwa mfano serikali imeamua kujenga Hospitali ama shule ama kambi ya Jeshi
Je nani inawezekana ikazuiliwa
Maana ninavyojua sheria zetu zote za mkoloni
Na wao bado wanazo, yaani hata kama umemiliki ekari 1000 na serikali ikataka kipande kwa ajili ya maendeleo unatoa bila shuruti ingawa utapewa fidia
 
Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.

Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.

Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Mkataba ni Heligoland Treaty
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Mdogomdogo wameanza kusogea, ila ipo siku watapokea kichapo hawataisahau bara
 
Back
Top Bottom