mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Maeneo ni hayo hayoSikumbuki vizuri lile shamba Azam...Kinapata sana na shamba is SMz....nasubiri waje
Yao
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo ni hayo hayoSikumbuki vizuri lile shamba Azam...Kinapata sana na shamba is SMz....nasubiri waje
Ukiwemo wewe[emoji3][emoji3]Wanagawa kwa sababu Watanganyika ni wapumbavu sana, watu hawajitambui
Ni sawa kama kuna mkataba na mzanzibar anahaki zote kumiliki ardhi Zanzibar,ila kama Mtanganyika nayeye anahaki ya Utanzania kwanini yeye haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar wakati sisi wote status yetu wote ni Watanzania?Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Nimejikuta napatwa na hasira kwa jambo ambalo halinigusi mimi wala maslai yanguTunaweza kunyang'anywa hata bahari yote!
Ahsante P umetusaidia sanaTanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Kwa ukubwa wa zanzibarNa sisi Bara tuna eneo ekari 500 Chanjamjawiri na 500 nyingine Donge.
Wewe ni mpumbavu aliyekamilika.Ulienda lini kuomba ardhi ukanyimwa?
Wapo wabara Wengi wenye mashamba huko Zanzibar...acheni kuandika vitu bila uhakika
Kwa sababu wewe sio mzanzibari,Kwanini Mimi msukuma siruhusiwi kumiliki ardhi pale michenzani Znz??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu mayala, hivi eneo la JMT ni tanganyika tu ama ni tanganyika na zanzibari. Kama ni hizi nchi zote 2 mbona inapotajwa umiliki wa aridh yaan wazanzibari wanahesabika sawa na watanganyika ila watanganyika kwenda znz ni big ni. Yaan znz ni kama mwanamke na mumewe wote wana mishahara ila mke mshahara wa kwake na mume mshahara wa familia nzima akiwemo na mke wake ndo huu muungano ulivyoTanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Kwakweli hii kitu inaboa kweli. Yani siku hizi ulipita mitaani watu ni habari za yanga na simba 24/7/365. Hakuna kitu kingine cha maendeleo watu wanachojadili. Huko kwenye magroup ya whatsapp ndio usiseme. Redioni nako, ni habari za mpira tuuuu. Hivi ntakula huo mpira. Inaudhi sanaSishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
"Mali ya Sultani wa Zanzibar".Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Hili ni kweli, ardhi hiyo ipo na inajulikana kwa jina la RAZABA (sijui kirefu chake). Nimefika, nimeliona eneo na ninalifahamu.
Watu kibao huwa wanapigwa hela zao na madalali feki kwa kuuziwa mashamba maeneo hayo halafu wakigusa tu kufanya chochote wanakutana na mkono wa sheria.
Alikuja kutupa elimu ya kujua nzi ana miguu mingapi..Mzungu hakutuacha salama
Ni kwann Tanganyika ilikufa alafu Zanzibar ikabaki kama si muungano wa kiin machoElimu ya uraia, inahitajika sana. Tanzania ni nchi moja ya JMT, muungano wetu ni muungano wa union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuwa nchi moja ya JMT. Hakuna any contradiction kwenye hili. Ila ndani ya muungano, muungano wetu ni wa federation wa nchi mbili za Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.
P