•Zanzibar channel located between longitude 38.8oE – 39.6oE and latitude 5.5oS – 6.8oS. (the coasts of Tanzania mainland and that of Unguja Island)
•The length of the channel is about 120Km and 35 – 40Km wide
- www.theissresearch.org/zanzibar/presentation.ppt
Inabidi tumuombe moderator afungue forum ya Be Bold. Hili watu wazungumze vitu vikubwa, ndoto, na visions.
kabla ya hilo daraja hapo juu kuna watu waliangalia bahari wakafikiria; halafu akawashirikisha wenzake, wakaona mantiki, wakaenda mbele, wakafikiria wakaona ni feasible, wakaenda mbele na kufanya upembuzi yakinifu wakaona na gharama, wakaweka sera, wakaweka bajeti, wakaanza mchakato miaka mitano baadaye daraja hilo hapo. Remember ni chini ya chama kimoja!!!
Umeona wapi neno uamuzi?...
Hizo ni ambitions za kutaka kujenga roller coaster (even a ferris wheel) uani wakati hata fedha za kuwasomesha watoto huna.
Kwanini tujenge daraja kwenda unguja? Kwanini?
Hilo la kigamboni tu linatutoa jasho.
Hatuwezi hata kuunganisha Kigoma-Kalemie ili tuunganishe Indian na Atlantic oceans.
Inabidi tumuombe moderator afungue forum ya Be Bold. Hili watu wazungumze vitu vikubwa, ndoto, na visions.
Naaah...we are too poor and that will be too much for us to think about when we have a gazillion of pressing issues.
If we are poor, why do we spend richly?
Naaah...we are too poor and that will be too much for us to think about when we have a gazillion of pressing issues.
Daraja la kutoka Magogoni hadi Kigamboni ambapo hata umbali wake haufiki kilomita moja, limetushinda.Viongozi wetu hawana uzalendo, dira wala dhamila ya kuleta maendeleonchini.
wewe si injinia tusaidie basi kupata hizo details maana naona unazing'ang'ania kama kiranga ila mnataka kutafuniwa
Sio tunataka kutafuniwa, tunataka kupewa cha kutafuna
Hata huyo injinia hupewa data za msingi kama bajeti na properties za eneo husika
Nyani Ngabu, I do not agree with you at all that we are poor to undergo such a project. Ninachokubali ni hiki, kuwa tuna tatizo kubwa la kuwa na viongozi wenye ufinyu wa vision, they lack thrust and dedication towards leaving a long lasting legacy after expiry of their tenor. Viongozi hawafikirii vitu vikubwa, viongozi ambao hawaelewi kwa nini Watanzania ni maskini. Fikira waliyonayo ni kunemesha watu na familia/jamaa zao tu.
Nasema hivi tusipoanzisha mapinduzi ya kifikra ya kila mmoja wetu mpaka viongozi wetu tutaendelea kuwa hohehahe ndani ya utajiri wetu unatuzunguka.
...Yes, indeed! And then what happened?we had ten textiles!
...Norway and Australia have a lot of [fast] ferries. You know what i mean.Of course, sijasema tu tujenge kwa ajili ya mapambo! La kwanza ni je ina maana kuunganisha? Well hili ni swali ambalo naamini linaweza kujibiwa in the affirmative. a. Je kuna watu wa bara na Zanzibar wanasafiri mara kwa mara kati yao? Kuna nini bara au Zanzibar ambacho kinaweza kufaidika kwa kuwepo kwa daraja la kudumu? b. Daraja la Kigamboni halijengwi kwa fedha za "NSSF" tu; kumbuka NSSF siyo taasisi "binafsi" bali ni taasisi ya umma. Na haijengi daraja kutokana na maamuzi yake yenyewe bali kutekeleza sera ya muda mrefu ya CCM ya kuunganisha Kigamboni. Je, kuna ulazima wa kujenga daraja la Kigamboni wakati kuna pantoon na kuna uwezo wa kupita nchi kavu - japo kwa kuzunguka - kufika huko? c. Je kuiunganisha Zanzibar kunaweza naamini kuvunja sana fikra za "ukisiwa" na kutengana ambazo zimekuwa zikilazimishwa sana. As a matter of fact naamini kujengwa daraja kutafisha fikra hizo kwani za hii mentality ya kujitenga inachangiwa sana na hizi hisia za ukisiwa.
...Ha ha ha ha haaaaaah!Mitanzania itakwenda kupanga nyanya darajani kama lile la manzese, daraja litakufa kwa acid tu ya nyanya na ndimu. Bado huko. Waweke la kawe tu (old Bwagamoyo road) kwanza linatusumbuwa kwa foleni, wewe unasema la Unguja? unavuta eeenhh?
...Hatuna uthubutu wa kuwekea watoto zetu madawati darasani, tutaweza "the bridge to nowhere"?Inawezekana kabisa. Tatizo hatuna ujasiri wa kuthubutu yale ambayo yanaonekana ni magumu.
Ni kweli, kama issue hapa ni "kuthubutu" tuthubutu kuanza na madawati....Hatuna uthubutu wa kuwekea watoto zetu madawati darasani, tutaweza "the bridge to nowhere"?
...Hatuna uthubutu wa kuwekea watoto zetu madawati darasani, tutaweza "the bridge to nowhere"?