Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya karne mojaItawezemana ila ni kazi saaana
Ndio akili zao zilivyowatuma [emoji16][emoji3]Hahahaha tukiachana na kichekesho iki, hawa watu wamefikilia nn mpaka waukate mbuyu na shoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafunga kanisa kwa ajili ya kampeniH
Hivi mwamakura kanisani kwake nani anaendesha misa? Maana naona ni meneja kampeni ni wa chadema
Magufuli anakijua kiingereza na kukiongea vizuri kuwazidi marais wote wa taifa hili waliomtangulia
People used to die in the in the rakeHaaaaa kweli aisee
Sio mungu tunayemuamini sisiMungu Hana time na kina yuda iskariote hawezi kupoteza baraka zake kwa uzao wa nyoka [emoji16]
😆😆😆😆People used to die in the in the rake
Kura za huruma tunampa, hutaki hama nchi.Hivi hii ajenda ya risasi bado ipo,? mara alimiminiwsma risasi 16, mara 38 , mara 64 hata hamueleweki!! hakuna kura za huruma hapa!!
Kwa bara wangeungana tu, ila kwa Zanzibar sina uhakika kama Chadema wamesimamisha mgombea, maana hata mkutano wa Lissu jana ametambua kuwa hata waliokwenda kwenye mkutano wake ni wafuasi wa Maalim Seif tu.Act tuliaambiwa bara waungane na Chadema ili wagawane wabunge wakang'ang'ania mgombea wa kuazima toka ccm hao awauziki tangu lowsa alipotutenda,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]
ucogope mkuu ww nawe ni binadamu cyo malaikaNilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Punguani weee Kubenea alikuwa Jimbo la Kino...mijitu ya Chato banaLisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kisheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
Pumbavu mtu anazidiwa hata n Sepenga kuzungumzaMagufuli anakijua kiingereza na kukiongea vizuri kuwazidi marais wote wa taifa hili waliomtangulia.
Acha wivu mkuuPumbavu mtu anazidiwa hata n Sepenga kuzungumza