Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

Umeelewa unachoandika asilimia 15 ndo imeongezwa hiyo 47 Kwa mtu wa kima Cha chini

Wana upemba na uunguna mwingi acha zako wewe nimekaa Zanzibar nawajua vizuri wanaendana kila kitu izo ni ishu za siasa sijui upemba na unguja CCM na cup
%15 Kwa sekta binafsi au Kwa serikali ?
 
Hujui unachosema, sheria ni moja wakiongeza government na private
Wanaongeza hivyo hivyo maana sheria itatamka kimya cha chini kwa mfanyakazi yeyote mwenye kuajiliwa kwa mkataba yaani akiwa na maandishi yanayomtambulisha kama mfanyakazi wa sehemu flani.
 
Kwenye hiyo nyongeza vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Jambo la Moderator hilo.
 
Hii barua umeiscan lakini something is missing toka page 1 kwenda page 2..

Sentensi ya "...kwa watumishi wenye elimu ya ngazi ya cheti na masomo ya art.......wataanza na mshahara wa TZS 321,000 hadi.....

Hiyo hadi..... hakuna mwendelezo, imeishia njiani
 
Moderator ndio walio weka hizo attachments
 
Hizi mambo zina malengo maalumu,mtaniambia mda ukifika..

Nimekuwa nafuatilia nyendo,Bara wakisema hivi ,yule wa kule anafanya vile Ili wa Bara aonekane hafai ila wa Zenji so that mkakati ufanikiwe.
 
Hizi mambo zina malengo maalumu,mtaniambia mda ukifika..

Nimekuwa nafuatilia nyendo,Bara wakisema hivi ,yule wa kule anafanya vile Ili wa Bara aonekane hafai ila wa Zenji so that mkakati ufanikiwe.
Kama raisi anashindwa kujisimamia au kusimamia watendaji wake walio chini yake hilo unalosema litamkuta. Kwanini zanzibar iwezekane halafu huku pawepo kigugumizi?? Inabidi raisi asimame kama raisi na sio kuyumbishwa
 
Moja ya kosa la Samia ni kuamini watu wanaomzunguka 😆😆..

Ngoja tuone mwisho.
 
Nami ni mmoja wa watumishi wa serikali, kwa hiki ulichokiandika hujokosea mkuu. Ni kweli tunaongozwa kwa matamko. Atakae kulaumu huyo hataki tu kukubali ukweli.
 
Zile 200b za korona naona zinawapa kiburi sasa..hivi watazilipa lini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Jamhuri ya watu wa Zanzibar.
 
Zile 200b za korona naona zinawapa kiburi sasa..hivi watazilipa lini?

#MaendeleoHayanaChama
Wajukuu watalipa. Maisha ni sasa baadae itajiongeza yenyewe. Kwanza unaweza kuta nuclear imesha sawazisha dunia hakuna wa kumcheka mwenzake
 
Nazani kuna wajanja wana mchezea uyu mother haonekane kama sanamu[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…