Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Rubbish
 
Wanauza korosho..ila vipande cha ardhi hamtaki kuwapatia mlivyo na roho mbaya.

#MaendeleoHayanaChama
Kiaridh hiki wenyew hakitutoshi NI ujinga kuwacha maelfu Kwa mama ya kilomita zilozojaa huko mjee kunyanganyiana na Sisi kaardhi umaskini WA akili maradhi mabaya Sana
 
Maelekezo gani? Ikiwa upo Rome Fanya kama warome wanafanya
Kumbe hata maelekezo ya dini yako huna.Sasa kwa nini msumbue watu?Mnashindwa kuvumilia kuona mtu anakula hata mihogo mbele ya macho yenu?
 
Hizo ndio Mila zetu hukatazwi Kula upendavyo lkn si HADHARANI pengine hata mm cfungi lkn nawajibika KUHESHIMU Imani ya waliowengi
 
Mila za wapi hizo weye?Umeeleza kwamba kwenye kitabu chenu cha dini hakuna muongozo huo.Kwa hiyo mmeacha maamrisho ya dini mmejitungia hizo mila baguzi?Kwa nini wanaofunga ndiyo wasijifungie ndani kujiepusha na kupata tamaa ya kupiga msosi?
 
Wewe vipi Sisi wenyeji ndio tujifungie tukuachilieni mtambe ktk Ardhi yetu wewe utakua mgeni Sisi tumesoma na kucheza na wagalatia mbona wakiheshimu ramazani bila malalmiko yoyote nyinyi wageni kinawauma nini??
 
Basi mazoea yenu ni batili hayafuati maamrisho ya dini yenu.Kama mmeamua kujianzishia tu hicho unachoita "mila" tutarajie ubatili zaidi kiendacho ukengeufu na misingi ya dini yenu.Muwe wavumilivu.Baadaye mtakataza wasio dini yenu kuvaa kwa kupendeza sasa mpaka ninyi mtoke mashambani!
 
Kiaridh hiki wenyew hakitutoshi NI ujinga kuwacha maelfu Kwa mama ya kilomita zilozojaa huko mjee kunyanganyiana na Sisi kaardhi umaskini WA akili maradhi mabaya Sana
Si tulikubaliana sisi ni nchi moja na kila mtanzani a ana haki ya kuishi popote ndani ya hii nchi iwe bara hata visiwani chamsingi asivunje sheria za nchi.?

Au ninyi huko visiwani sio Tanzania?
 
Hawajaanza hii Leo wala jana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…