FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sawa, hata kama sio mara ya kwanza, wasiingilie uhuru wa watuWatu wenye iman tofauti Mwezi huu wanakulaga jeshini au mesi za polisi
Hii syo mara kwanza kwa wazenji kuweka katazo Miaka nenda rudi wanazuiaga
Ova
Mdau kasema wazenji nao tuwarudishe kwao baada ya mdau mwingine kusema wabara warudi kwao wakalime, the useme hata bara waislam ni wengi.., kwani waislam wote ni wazenji?Nani kasema?
Aah kwahyo Wazenji kukaa Bara haina shida, maana hawavunji tamaduni za huko kwakuwa hata huko waislam Ni wengi.....ila wabara wanaolalamika Zenji Ni kwakuwa hawaendani na tamaduni za kiislam ndomaana wanashauriwa kama hawawezi Mila Za kiislam huko zenji warudi kwao Bara kulimaMdau kasema wazenji nao tuwarudishe kwao baada ya mdau mwingine kusema wabara warudi kwao wakalime, the useme hata bara waislam ni wengi.., kwani waislam wote ni wazenji?
Put it this way.Hiyo marufuku ni kwa niggers tu lkn 5 Star Hotels wanauza siyo tu chakula hata drugs na Ukahaba rukhsa!
Huko ndiko kulivyoSawa, hata kama sio mara ya kwanza, wasiingilie uhuru wa watu
Mnapokuwa chini ya serikali basi sheria inachukua hatamu, hata tamaduni zitafuata sheria, kama mna tamaduni ya kukeketa inayokinzana na sheria then inapaswa kuachwa, kinachofanyika Zanzibar ni uvunjifu wa haki za baadhi ya waTz na ni kinyume cha sheria.Aah kwahyo Wazenji kukaa Bara haina shida, maana hawavunji tamaduni za huko kwakuwa hata huko waislam Ni wengi.....ila wabara wanaolalamika Zenji Ni kwakuwa hawaendani na tamaduni za kiislam ndomaana wanashauriwa kama hawawezi Mila Za kiislam huko zenji warudi kwao Bara kulima
Katiba yenu imetamka hivyo ?Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Kwanini mnakua mnateseka sana?
Kwani na Nyie si Ni kwaresma?hapa wakulalamika Ni atheistWakristo tuliopo Zanzibar tunanyanyaswa kiukweli🙆 kanisani Anglican huwa wanapika, ngoja tuone kama watazuia na pale...
Katiba yenu imetamka hivyo ?
Sawa nchi inaongozwa Na Sheria lakini watU wanaongozwa Na diniMnapokuwa chini ya serikali basi sheria inachukua hatamu, hata tamaduni zitafuata sheria, kama mna tamaduni ya kukeketa inayokinzana na sheria then inapaswa kuachwa, kinachofanyika Zanzibar ni uvunjifu wa haki za baadhi ya waTz na ni kinyume cha sheria.
Siyo nchi ya kiislamu ndiyo maana wazungu wanatembea na chupi vijana waki Zanzibar wanakunywa pombe Wana vuta bagi na sigara wanabaka na kudhaliisha watoto kijinsia Bar zipo nyingiSwadakta zanzibar ni nchi ya kiislamu lazima isimamie misingi ya dini ya kiislamu ngoja wanaofungisha ndoa za jinsia moja kanisani na kuvaa nusu uchi wakienda kuabudu na wanakula mnyama mwenye hedhi .
Mbona mabeberu Wana uziwa aridhi na mpaka maeneo ya makaburi au kwasababu wanatoa mapesa mengi?Kiaridh hiki wenyew hakitutoshi NI ujinga kuwacha maelfu Kwa mama ya kilomita zilozojaa huko mjee kunyanganyiana na Sisi kaardhi umaskini WA akili maradhi mabaya Sana
Hapana hiyo siyo nchi ya kando ndiyo Maana Mama Samia kamteua kamishna wa polisi Zanzibar na Uhamiaji sasa kama Zanzibar ni nchi mbona sasa Raisi Hussein Mwinyi hawezi kuwateua yeye?Mlisha ambiwa Hiyo ni nchi kando Tena na imani Yao inajulikana mnataka kutafuta sababu
Tujaribu kusaidiana waliotembea nchi za jirani mfano mji wa Mombasa je wao Sheria zao kipindi cha Ramadhani wanachi wanatakiwa wasile mchana adharanieti tradition tokea lini?, yaani harakati za sultan seyyid na kina Bargash kuwazuia watumwa na wakazi wengine kula mchana wakati wa mfungo ndio mnaziendeleza mpaka kesho?, hahah kweli mtumwa ni mtumwa tu hata aweje bado ile minyororo ikitoka mikononi huwa inabaki akilini, hii bidii mngeiweka kwenye kusisitiza umuhimu wa elimu na kupinga ushoga mngekuwa mbali sana
Muafrika hana tamaduni ya dini hizo za kuletwa na wageni,labda kama hujui historia ya mwafrikaFakhari naona mm kulinda tamaduli zetu ambazo Mitanganyika kila ikijitahid inashindwa kabixa
kwani hili ni mara ya kwanza kufanyika zanzibar?Wakristo tuliopo Zanzibar tunanyanyaswa kiukweli[emoji134] kanisani Anglican huwa wanapika, ngoja tuone kama watazuia na pale...
Hamkuitwa kuja zenji mumekuja wenyewe kwaio haya ndo maisha yetuKisiwa cha kifala sana hicho
Hi imani wanayo Wazanzibari wengi sana, kwamba kama sio ccm/muungano then Zanzibar ingekua kama sijui kama Qatar nk, ni moja kati ya imani ya kijinga sana, maendeleo hayaji tu kwasababu ya location uliopo, yanakuja kwasababu ya bidii ya watu husika. Nimeenda Zanzibar, almost kila mwaka naendaga kumpumzika huko, najua Unguja vizuri hadi kule mchangani; Tanzania hi, hakuna watu wavivu kama Wazanzibari, wale wote wanao uza hata nguo na vitu vingine kule pwani utakuta ni watu wa bara, wafanyakazi wa hotelini almost wote ni kutoka bara. Hakuna watu wavivu kama nyie. Hiyo Qatar ingekujaje na uvivu wenu? Sasa hivi Zanzibar pia inachangamka just because ina rais kutoka bara, angekua mla urojo kama nyie hata hiki kinacho fanyika kisingefanyika wala.Bila fitna Za wakoloni wa CCM Zanzibar ingekuwa Qatar