Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

1. "Delegation kubwa sana ya watumishi wa Serikali!" Wangapi? Leta fact.

🙏🙏🙏
 
Hii sio rizki bali ni ubinafsi wa viongozi. Raisi anakiri nchi yetu bado uchumo upo hoi, wananchi maanilion ni maskini.
Ingekuwa tuna uchumi mzuri na wananchi wengi wana kipato kikubwa basi uliyosema yangekua sahihi kabisa.
Lakini Leo hii kujenga vyoo vya shule tunasubiri msaada wa nchi zingine lakini pesa ya kulipana per diem nje ya nchi tunayo. Ni upumbavu tu
 

Ni kutokuelewa tu wanafanya mikutano mingi ya maana
 
Ni mwenyekiti wa CCM huyo huenda muda huo wasio na kazi wanajadiliana namna ya kula kwa urefu wa kamba ...CCM na ufisadi huwezi kutenganisha
 
Watanzania wapo msibani, ili hali hakuna aliyekufa. Hizi awamu za majizi zitakwisha tu.
 
Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake!
 
Siku hizi umebadili kibwagizo (chorus) toka Chadema hadi anti Samia, pathetic
 
Acha ushamba!
Baadhi ya mambo sio ya ku challenge maana hauko huko na wala hujui kinachoendelea kila siku.

Pia uelewe Rais anafanya kazi popote pale alipo.
 
Umesharudi toka Bujumbura ? Wamesemaje kuhusu ku support Umoja Party yenu?

Umejuaje ratiba za watu wa Marekani wakati unahangaikia umoja party hapo Bujumbura?
 
Silku hizi sijui nimekuwaje,

Ninachukia sana WATU wanaoongea sana kama CHIRIKU.

Watu wenye MAONI na hoja KWENYE kila kitu. I HATE THEM TO THE CORE
Pole mkuu.Yalaumu maisha ila sio wao wamyafanya yawe magumu.Pambana na hali yako
 
Hata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu.
Ok poa, subiri tumuombe mtaalamu Manyaunyau amrudishia Jiwe aendelee na nchi yake.
 
Kweli kabisa! Awamu ya wapolipoli ilikuwa wanakula bata mkoa kwa mkoa, huku wakituaminisha tunajenga nchi. Lakini sasa wamjini wanakula Bata taifa kwa taifa. Wawe wapole tu! Kutesa kwa zamu.
 
Hizo gharama zilizotumiwa kwa kila mmoja ni Mungu tu anajua, fedha nyingi zimeteketea.

Najiuliza alishindwa vipi kuondoka siku mbili kabla kupunguza hizo gharama?
Wa chini sana anaweza akawa amevuta 6 million
 
Mleta mada naona hufuatilii

Hujaona akikutana na Makamu wa Raisi wa Marekani? Unadhani kaenda kwa Uzinduzi wa Royal tour tu

Hata kama humpendi hizo siku tano kazitendea haki mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpenzi

Mleta mada hujamtendea haki kwenye mada yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…