Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Rais alivyo mvivu kutembea amepata eneo la kwenda kulala.​

 

Don't trust a woman please!
 
waziri wa mambo ya nje naye ni bibi kols kitu Yes. Maza ni bibi kila kitu Yes. Waziri wa ulinzi ni bibi kila kitu Yes. Tunakoelekea …
 
Unajua ukubwa wa USA mwanamama au unadhani ni ziara za Magufuli za Malawi na Rwanda
 


Hivi ziara zinanda kwa siku au malengo!. Yaani unataka Raisi aje kutoka Tanzania hadi USA kukaa siku mbili kama vile Rwanda! Je unajua hii nchi ina states 50 na California pekee ina watu milioni 40, Texas milion 28.... kuna vitu vingi sana anaweza kufanya hapa. Hii ni nchi yenye uchumi mkubwa zaidi Duniani, yenye teknologia zaidi Duniani, Dollar ndiyo inatumika kama pesa ya kununulia vitu nchi inaongoza kwa uzalishaji wa mafuta halafu Raisi akae siku mbili ili tu kwa kuogopwa kupigwa madongo!. Hatakuwa katutendea haki kama hata rudi na wawekezaji na pesa.
 

Mzee wa Msoga (mwalimu wake) aliifanya USA kama sebule yake, lakini alituachia nchi ambayo haikuwa na uwezo wa kulipa hata mishahara ya watumishi wake on time!

Serikali inayoamini Rais ndiye mwenye uwezo wa kutafuta wawekezaji nje ya nchi ni foolish government. Wazifunge tu diplomatic missions zetu zote; wanapoteza taxpayers money bila sababu ya msingi.
 

Per diem
 
Enzi za magufuli mlikuwa mnashangilia hata akisema bhagosha!!. Bi dada tulia hapohapo.
 
K
Kinana yupo atarekebisha kama alivyorekebisha kauli ya "kutoangalia vyeti wakati wa kuajili na kufanya teuzi" ila ya "kunyonya kulingana na kipenyo cha mrija wako" hajaitolea ufafanuzi bado!
 
Mtumie baarua umwambie mwenyewe. Lakini ninachojuwa mm uhusiano wetu na marekani ulichafukA sana wakati ule akina makonda wanapigwa marufuku ya kukanyaga marekani kuzuia watoto walïopata mimba wasikanyage milango ya shule tena. Anasafisha upepo mbaya aya
 
Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Ila Rais kwenda kukaa nje week nzima, hii ni hatari sana. tuombe hii project itick vinginevyo tutatafutana kuanzia mwakani.
Unadhani kaenda kwa ajili ya royal tour tu!!?
 
Yani ni Tanzania pekee ndio unaweza kukuta mijanaume mizima inamuonea wivu mwanamke,

Hopeless kabisa.
 
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Ukikaa kwa watu muda mrefu sana mwishowe unapewa na kazi za nyumbani!
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…