Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Nadhani hata Rais Biden anawashangaa
 
Nani atarekebisha?
 
Acha wivu, kama safari zinakukera nenda chato ukajifukie
 
Tulia we dogo wakudadavua awamu iliyopita ulitunanga Sana acha na ww uisome namba
 
Jiulize ushawahi kuona Rais wa nchi asafiri kwenda taifa fulani akae almost wiki? Kaambatana na Rundo la watu! Vikao havina kichwa wala miguu na hapo wanakodi kumbi za mikutano kila siku! Naunga mkono hoja!
 
Watu walipokuwa wakienda kuishi Chato zaidi ya mwezi mmoja walikuwa hawalipwi?
Kwa akili yako kisoda Chato hapo gharama utailinganisha na Marekani? Kwanza pesa ilikuwa inabaki nchini lakini huko hela haiingii kwenye mzunguko wa wananchi!
 
Acha tule maisha, wasanii wote isipokuwa wema ninao, ngoja wafanye hata window shop.
 
Umeshakata tamaa na teuzi mh Umoja Party!
 
Mimi wakati anaenda Marekani nilifikiri kuwa amealikwa na Rais wa Marekani kumbe siyo. Sisi kama wananchi tunataka kujua Mhe. Rais katika safari yake aliongozana na watu wangapi. Pili tunataka kufahamu posho ya kila mmoja na gharama zingine kama nauli ya ndege nk. ilitujue gharama yao ingeweza kujenga vituo vya Afya vingapi.
 
Heading ya bandiko lako inasema siku 5 unamaanisha nini maana ziara ya US ni ya wiki 2 mkuu.
 
Ni kweli kuna watu walikuwa wanaumia sn kwenye utwala wa jpm,na niseme ilibidi waumie ili nchi iweze kusonga mbele,
 
Ni lile neno "hotel" ndiyo limekubagaza?Hata Magogoni unaweza kupaita hotel na mambo yakafanyika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe usiwe bwege, utaitaje IKULU ya magogoni hotel!!
Hakuna shuhuri yeyote ya maana waliyokuwa wanafanya hotelini bali ni kulala na kuzubaa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…