Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024



yule jamaa msukuma alijifanya hataki kutembea kujifunza kwa wengini akaishia kaburini kabla ya siku zake.daah.maisha bana
 
Viongozi wote wanaalikwa....hata ma dictator waliokubuhu....huyu wetu kazidi kijitembeza....ushamba ni mzigo sana
JPM sijui alikuwa ana mkosi gani, alikuwa haalikwi kabisa daniani
 
13 February 2024
Oslo, Norway

DIPLOMASIA YA UCHUMI, ZIARA YA RAIS SAMIA HASSAN NCHINI NORWAY

Rais aongozana na wafanyabishara zaidi ya 50 katika ziara yake Norway ili kuongoza fursa za kibiashara na kiuchumi kupitia ushirikiano


View: https://m.youtube.com/watch?v=EZylCpjjSrk
Rais Samia Hassan na mwana wa mfalme wa Norway watahudhuria Kongamano la Biashara linalohudhuriwa na wafanyabishara wa Norway na wenzao zaidi ya 50 kutoka Tanzania linafanyika Næringslivets Hus jijini Oslo Norway leo.
 
Mheshimiwa sana Rais SSH je unajifunza nini kwenye hizo nchi za wenzetu na pia ukilitizama jeshi lao na la kwako umejifunza nini!

Kate ulikopita kuko vizuri na kiheshimq kwako umefuga wapigaji kila kona nchi ni ngumu mno hii! Huhitaji 5 tena wanakudanganya tuuh.
 
STATE na mtoe mrejesho wa kundi analosafiri nalo gharama hizi zinaifaidisha vipi nchi hii ya maziwa na mtindi.
 
Yupo vizuri kwenye hizi ziara sio kuenda Nyakapanya au Tandahima kusikiliza matatizo ya wananchi kama umeme, maji, bei za daladala, chakula, matatizo ya ardhi, halmashauri, mahakama.

Angekuwa anapenda kusikiliza matatizo ya wananchi kama anavyopenda ziara za nje, red carpet, holiday tungepata watendaji bora, umeme, maji, angesikilliza shida za wananchi kama mfumuko wa bei.
 
Umelenga mulemule, hao wa Norway wanafukuzia mradi wa gesi ya LNG plant huko kusini Mtwara na Lindi kwenye bahari. Wana kampuni ya Equinor iko inataka gesi. Lazima wampokee ili Mradi wa gesi ufufuke. Magu aliukataa huo mradi kabisa 🀣🀣
Sio wanafukuzia ndio waliogindua hiyo gas.

Wewe hata ukiachiwa kipi Cha maana unaweza fanya kwenye hiyo gas?

Bila mzungu wewe mtu mweusi Kuna Madini yeyote unayajua au Imewahi gundua? Unalo soko? Una takenojia? Una pesa? 🀣🀣🀣🀣
 
Mbona ya kawaida tu kwa mkuu yoyote wa nchi,hata kama mkimchagua Gigy Money kuwa rais akienda huko angepata mapokezi kama hayo
 
Kinachosemwa ni viongozi wa huko katika maisha yao ya kila siku hawana misafara, wewe unadhani kila siku huwa wanambeba Samia!
Chawa ni wadudu wajinga sana kwani maisha yake anategemea mwili wako, lakini mwili huohuo anauuma bila kujua kwa kufanya hivyo naye utamuua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…