dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Veta Trade Test 3Una kiwango gani Cha elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Veta Trade Test 3Una kiwango gani Cha elimu
View attachment 2902967
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902968
View attachment 2902970
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902976
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902978
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902979
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902980
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
Viongozi wote wanaalikwa....hata ma dictator waliokubuhu....huyu wetu kazidi kijitembeza....ushamba ni mzigo sanaJPM sijui alikuwa na mkosi gani, alikuwa haalikwi kabisa duniani
JPM sijui alikuwa ana mkosi gani, alikuwa haalikwi kabisa danianiViongozi wote wanaalikwa....hata ma dictator waliokubuhu....huyu wetu kazidi kijitembeza....ushamba ni mzigo sana
JPM sijui alikuwa ana mkosi gani
Oslo, Norway
Rais aongozana na wafanyabishara zaidi ya 50 katika ziara yake Norway ili kuongoza fursa za kibiashara na kiuchumi kupitia ushirikiano
View: https://m.youtube.com/watch?v=EZylCpjjSrk
Anaupiga mwingisukari inagonga 5500/- kwa kilo Mvuti Magetini huku, mama yuko nje anakula bata
sawa sawa
kiingereza. lughaAlikuwa mwoga sana, yaani dikteta uchwara.
Maana dikteta kamili huwa wanajiamini tofauti na madikteta uchwara.
Mheshimiwa sana Rais SSH je unajifunza nini kwenye hizo nchi za wenzetu na pia ukilitizama jeshi lao na la kwako umejifunza nini!View attachment 2902967
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902968
View attachment 2902970
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902976
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902978
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902979
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902980
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
STATE na mtoe mrejesho wa kundi analosafiri nalo gharama hizi zinaifaidisha vipi nchi hii ya maziwa na mtindi.State visit of Tanzanian President Samia Suluhu Hassan to Norway
byHelen-February 13, 20241 Comments
President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan is making a State visit to Norway on February 13 and 14 at the invitation the King and Queen. The visit is made on the occasion of the 60th anniversary of the establishment of diplomatic relations between the two countries and is the first Tanzanian state visit to Norway since 1976.
On February 13, King Harald and Queen Sonja received President Samia Suluhu Hassan after a welcoming ceremony held at the Palace Square in Oslo. Crown Prince Haakon, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid were also present at the welcoming ceremony. In the evening of February 13, King Harald and Queen Sonja will hold a gala dinner at the Royal Palace in honour of President Samia Suluhu Hassan.
![]()
Yupo vizuri kwenye hizi ziara sio kuenda Nyakapanya au Tandahima kusikiliza matatizo ya wananchi kama umeme, maji, bei za daladala, chakula, matatizo ya ardhi, halmashauri, mahakama.View attachment 2902967
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902968
View attachment 2902970
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902976
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902978
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902979
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902980
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
View attachment 2902981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
Tazama mapokezi ya Rais Samia huko Norway,ni zaidi ya heshima.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C3SuhXUtjvI/?igsh=NWpoOXFkNTd0cDho
Swali.
Wale wanaosemaga Ulaya hakuna msafara wa Magari mengi ya Viongozi Huwa wanamdanganya nani?
View: https://www.instagram.com/reel/C3Se67KqP69/?igsh=MTdqOHd4dW9xZGxldg==
Sio wanafukuzia ndio waliogindua hiyo gas.Umelenga mulemule, hao wa Norway wanafukuzia mradi wa gesi ya LNG plant huko kusini Mtwara na Lindi kwenye bahari. Wana kampuni ya Equinor iko inataka gesi. Lazima wampokee ili Mradi wa gesi ufufuke. Magu aliukataa huo mradi kabisa 🤣🤣