Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Huu ndo ulozi sasa achana na wa kupewa kanyoka mwisho kakung'ate😂
 
Umesahau na ule utajiri wa kumgonga mama au dada ako.
Hii dunia ina mambo
Kuna mwanangu aliambiwa ampelekee moto mama mkwe wake. Sasa akawa hajui ataanzaje. Ikabidi anishirikishe tena kwa kutanguliza samahani nyingi maana anajua msimamo wangu juu ya vitu vya kusadikika.

Baada ya kunieleza nikamshauri amchanganyie huyo bi mkwe valium pill kwenye kinywaji akisinzia ampelekee moto. Jamaa akafuata maelekezo akafanikisha. Ila kila baada ya muda fulani inabidi afanye hivyo tena. Sasa kuna siku bi mkwe alishituka jamaa hajamaliza lakini haikuwa issue maana jamaa alimweleza ukweli na kuomba msamaha juu plus kuahidi kuacha ile tabia.

Ila bi mkwe akasisitiza akamsihi kuwa haina haja ya kuacha warudi kuwa kapuku. Hivyo kuanzia hapo wakawa wapenzi rasmi.
 
Daaah, ee Mungu uturehemu. Kuna watu wanaishi maisha ya Jehanum wakiwa duniani.
 
Huo wa kuua wafanyakazi naona unakuja kuwa fashion Sana....
Kuna jamaa angu mmoja alpata kazi kwa mfanyabiashara mmoja maarufu huko dom, cha kushangaza kila mwaka wakawa wanazika mfanyakazi mmoja baada ya mwingine jamaa angu akaona isiwe tabu ,kabla zamu yake haijafika akaacha kazi,.. saivi ni boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…