Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

Ahhhhaaa
 
Hata ukijengea nyumba lazima ipo siku utaiuza. Kitu cha dhuruma "no self satisfaction"

Binafsi sijui taasisi ya Tanzania unaweza kupata huduma bila rushwa. Labda shule za serikali kwa sasa!
Ila mi kusema kweli Nina ushahidi kabisa Watumishi wa chini ndiyo wala Rushwa wakubwa, na wamenipiga sana hizi za kubrashia viatu ila ukifanikiwa kuonana na ma boss zao Basi jua utapata huduma free bila kutoa hata senti tano yako!! NB siyo ma boss wote wako hivyo kumbukeni! Wengine ni hatari zaidi Watumishi wa chini yake!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…