Katili kuliko waliomimina risasi October 29 car to mbw MbeleWewe ni mtu katili sana. Nakuombea upaliwe ufe na chochote utakachokunywa.
ππππππHuyu mtoa roho nae anazunguka sana, si anyooshe maelezo!?
Mpaka mabazazi ya JamiiForum yanakuvizia baba yangu amekupendezesha. Ni pesa ametumiaBaba yako ana pesa? πΉπΉ
aisee Mungu mkali nyie π³ kwahyo kafuta kizazi chote?Ni yeye mkewe na watoto wake wawili
Huu msiba wa kuvalia suti bwana, hajafa dula kichogo......Tunaoenda msibani mje tuungishane vijora basi..!! πΉ
πππMsiba wetu wa kitajiri tunalia huku tunazogoa..!! πΉπΉπΉ
Haaahaaa hapa wa over wanachekelea tu wanajua chochote kitu lazima kipoHahaha na kanji anagoma ku cash out. Hii ngoma ngumuu.
Ndani ya On target 2 goal lazima lipatikane hakuna crosbar hii game
πππ sikuweziii, hadi upate mgao kabisa.Wafiwa kutoka Tanzania tushaandaliwa ghorofa letu la kupumzika πΉπΉπΉ
Nasikia Rick Ross yuko njiani kwaajili ya kutumbuiza na ameambiwa aje na belaire za kutosha..!! πΉπΉ
Mimi hata baada ya 40 sirudi mpaka mirathi igawiwe ndo ntarudi..!!
Wanipe urisi wangu hata G Wagon nije kutambia bongo..!! πΉ
BamnyogodeHuyo ni baba yetu mdogo
Vijora vya kutokea huku, suit tutavaa tukifika zimbabwe..!!Huu msiba wa kuvalia suti bwana, hajafa dula kichogo......
Ataweza kulinda mgongo huyu. ?ππππView attachment 3681377
Kwahiyo umesahau mpaka siku zile JamiiForum ikapigwa pin kisa huyo jamaaIla marehemu alikua na dharau, kwani alikua anatoa kumbato kwa taifa
huyo sio illuminati mzeeView attachment 3681418Yani kule Zimbabwe wana Lisu wao naye anasimama katika maadili, imagine ni wiki moja tu imepita tangu akatae hii zawadi ya huyu Illuminati.