AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wamekuja kununua Majeneza? Jeneza 1 bei inaendaje? Nahitaji yale Classic kabisa niliweke Sebuleni km pamboHii picha nimecheka sana mpaka wateja wangu wanahisi nawacheka waoπππ
Hapo huyo mzungu Koko anatazama hiyo housing anawaza mengi sana haamini kama amekaa na binadamu wa kawaida
Hiyo picha ni ya kweli na huyo ni mwenyeji wa waliokwenda UN kupinga ardhi yao kuporwa na wao kufukuzwa, hao wanaishi kama watindiga kwa kuwinda na kula matunda na asali.Hii picha nimecheka sana mpaka wateja wangu wanahisi nawacheka waoπππ
Hapo huyo mzungu Koko anatazama hiyo housing anawaza mengi sana haamini kama amekaa na binadamu wa kawaida
Uyo bonge alimtesa nan apa bongo ata mumuombee mabaya?Ulifanya utafiti lini ? Shida nyie Huwa mnajiona miungu watu kutesa wengine, ndio maana watu wanawaombea mabaya.
Huyu rais ana bahati mbaya.Mwaka huu hamaliziSerikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia:
Kwani hana watoto, wadogo zake, kaka, Dada na ndugu wengine watakaorithi?Sasa,utajiri wake,umekuwa kazi bure kabisa!
Hapana huyu jamaa alishafikia level za mafia na alikuwa na siri na nchi zetu nyingi kwa akili zangu za haraka haraka ata mimi angenisaidia jambo ningeangalia namna yakumla kichwa.RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, ni kweli, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!" - Patric Balisodya na Afro 70 Band na mtindo wao wa Afrosa.
Huyu Bonge ni kijana mdogo tuu, ila mwili tuu!.!,Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !
Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.
Naomba kutoa angalizo kwenu kwa hawa mabilionea wetu, wenye mysterious billions, akiwemo Chief Godlove, Bilionea Saidi Lugumi, Bilionea, Davis Mosha, Bilionea Fred Vunja Bei, they are all connected, kwanza wote hawana wake, they are most eligible singles, they have the money, the cars, the lavish homes, but they end up dying mysterious deaths, angalia vifo vya mabilionea wetu, Deo Filikunjombe, yule bilionea wa Nyatco, Bilionea Yusuf Manji, Bilionea Ally Mfuruki, Bilionea Mutie Mengi, Bilionea mtoto wa Bakhresa, Bilionea Getrude Lwakatare, all were singles!, kuna ka connection fulani cha ubilionea na kuishi single, na vifo vya ajali, or mysterious disease!.
Sometimes bora kuwa masikini but you live long life, happy with wife and family, kuliko kuwa bilionea, you live single na kufa ghafla.
Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.
Mzee Pasco!,
Umeseema?kumbe jamaa alikua na mtoto mwingine wa kiume, kwa mke wa kwanza ,nimeona seheme tweets za zimbambwe huko
kwa mujibu wa vyanzo vya zim,Umeseema?
Ujinga mzigo, kawaulize ndugu wa Ginimbi kwanini zile gari na lile jumba lake wameliacha linaoza na kua km Gofu la Mobutu kule GbadoliteKwani hana watoto, wadogo zake, kaka, Dada na ndugu wengine watakaorithi?
Ebu tuone hivyo vyanzokwa mujibu wa vyanzo vya zim,
Tembelea tweets za watu wa zim huko X, utazionaEbu tuone hivyo vyanzo