TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mke wake, Lucy β€œLulu” Muteke, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo, Septemba 30, 2026, katika eneo la Marondera, mashariki mwa Harare, Zimbabwe.

Serikali ya Zimbabwe, kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali, Nick Mangwana, imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa hakukuwa na manusura. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu kadhaa walikuwa ndani ya helikopta hiyo wakati ilipoanguka.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
 
Tumefiwa na mchepuko wa mama. Sasa anayefuata ni Abduli
 
Kuna mdau jukwaani Leo alileta mada kwamba hatimaye ameweza kuingia JF bila VPN. Baada ya muda mfupi habari ya Chiva ikarindima jukwaani.
 
Hilo lijambazi kibonge mafuta limeshiriki madili ya silaha haramu za kivita na huenda hata yale makontena yaliyotumika kuua watanganyika yalikua nyuma yake maana lilikua halikauki ikulu na bi kidude hadi JF ikapigwa ban kwa mapicha yao ya ajabu ajabu.

Good riddance to bad rubbish.
 
Flydubai nayo imetua saudia kwa dharura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…